From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
you don’t go on holiday with the full complement of office staff.
huendi likizo ukiwa umeambatana na watumishi wote wa ofisi yako.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
we believe that the articles and reports produced by connectas will be a quality complement to our coverage of latin america.
tunaamini kwamba makala na taarifa zinazozalishwa na connectas zinasaidia pia kwenye habari zetu za amerika ya kusini.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the interaction of the coronavirus spike protein with its complement host cell receptor is central in determining the tissue tropism, infectivity, and species range of the virus.
mwingiliano wa protini ya ncha ya kali ya virusi vya korona na kipokezi chake cha ziada cha seli mama ni muhimu katika kubainisha ubadilishaji wa tishu, hali ya kuambukizwa, na masafa ya spishi ya virusi.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
the breaking borders award also complements the work of global voices advocacy, which was formed in february 2007 to bring focus to the organization's freedom of expression-related activities.
tuzo ya kuvunja mipaka pia inaboresha kazi za idara ya utetezi ya global voices, ambayo iliundwa mwezi februari 2007 ili kutilia mkazo kazi za asasi zinazohusiana na uhuru wa kujieleza.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: