Results for concepts translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

we need to combine best practices in creating western corporate context along african concepts.

Swahili

tunahitaji kuchanganya njia bora katika kubuni makampuni ya muktadha wa ki-magharibi kwa kutumia mawazo ya ki-afrika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

although based in azerbaijan, the blog notes the same value system throughout the entire caucasus and speaks out about such patriarchal concepts and practices.

Swahili

japokuwa ipo nchini azerbaijan, blogu hiyo inabaini mfumo unaofanana wa maadili katika eneo lote la caucasus na inaongelea kuhusu dhana na taratibu za namna hiyo za mfumo dume.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

another 806 young people, 10% of them women, shared their thoughts on new concepts and discovered how to apply them in their own context.

Swahili

vijana wengine 806, asilimia 10 wakiwa ni wanawake, walitoa mawazo yao kuhusiana na maarifa waliyojifunza na pia kutambua namna ya kutumia maarifa waliyoyapata katika mazingira yao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a uk emergency release of snomed ct concepts for covid-19 was also subsequently made available across all cmr systems (table 4).

Swahili

toleo la dharura la uingereza la dhana za snomed ct kwa ajili covid-19 pia ulipatikana baadaye katika mifumo yote ya cmr (jedwali la 4).

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the intention is that these will eventually be mapped to the new snomed ct concepts as they become available, allowing recording of relevant data (multimedia appendix 1).

Swahili

nia ni kufanya haya hatimaye yawekwe kwenye dhana mpya za snomed ct zinapopatikana na kuruhusu kurekodiwa kwa data muhimu (kiambatisho 1 cha midiaanuwai).

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

accounting concept

Swahili

dhana ya uhasibu

Last Update: 2021-11-29
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
9,139,561,267 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK