Results for confined translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

confined space

Swahili

nafasi iliyofungwa

Last Update: 2025-02-08
Usage Frequency: 1
Quality:

English

fair ones, confined in tents.

Swahili

wanawake wazuri wanao tawishwa katika makhema.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

pure ones confined to the pavilions.

Swahili

wanawake wazuri wanao tawishwa katika makhema.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

sherry rehman later received death threats and was confined to her house.

Swahili

baadae, sherry rehman alipokea vitisho vya kuuawa na hivyo kulazimika kukaa ndani ya nyumba yake bila ya kutoka.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and the songs on it tell the story of a woman who feels confined by tradition.

Swahili

na nyimbo zote kwenye albamu hiyo zinasimulia hadithi ya mwanamke anayejisikia kufungwa na mila.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

so do what you are determined to do. all that you would do will only be confined to our life on earth.

Swahili

basi hukumu utavyo hukumu; kwani wewe unahukumu haya ya maisha ya duniani tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

on the day when we resurrect from every nation a group from among those who had rejected our revelations, they will be kept confined in ranks.

Swahili

na siku tutapo kusanya kutoka kila umma kundi katika wanao kadhibisha ishara zetu, nao watagawanywa mafungu mafungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

over my true servants you will be able to exercise no power, your power will be confined to the erring ones, those who choose to follow you.

Swahili

hakika waja wangu, wewe hutakuwa na mamlaka juu yao, isipo kuwa wale wapotofu walio kufuata.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

all do we aid-- these as well as those-- out of the bounty of your lord, and the bounty of your lord is not confined.

Swahili

wote hao tunawakunjulia - hawa na hao - katika neema za mola wako mlezi. wala neema za mola wako mlezi hazizuiliki.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the media coverage of recent protests in sudan was confined to articles in al arabiya and al jazeera, including some snippets on al jazeera’s english channel.

Swahili

habari za maandamano ya hivi karibuni nchini sudani zilizopata nafasi kwenye vyombo vikuu vya habari, zilionekana tu kwenye makala zilizochapishwa kwenye mtandao wa al arabiya na al jazeera, kwa kujumuisha dondoo chache kwenye idhaa ya kiingereza ya al jazeera.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

whatsoever allah may restore unto his apostle from the people of the cities is due unto allah and unto the apostle and unto the near of kin and the orphans and the needy and the wayfarer, so that it may not be confined to the rich among you.

Swahili

mali aliyo leta mwenyezi mungu kwa mtume wake kutoka kwa watu wa hivi vijiji ni kwa ajili ya mwenyezi mungu, na kwa ajili ya mtume, na jamaa, na mayatima, na masikini, na msafiri, ili yasiwe yakizunguka baina ya matajiri tu miongoni mwenu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

“and the one who turned away from my remembrance – for him is a confined existence, and we shall raise him blind on the day of resurrection.”

Swahili

na atakaye jiepusha na mawaidha yangu, basi kwa yakini atapata maisha yenye dhiki, na siku ya kiyama tutamfufua hali ya kuwa kipofu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

reports from february (when the majority of the cases had still been confined to china) have documented racist sentiments expressed in various groups worldwide of chinese people deserving the virus or receiving what has been claimed as justified retribution.

Swahili

ripoti kutoka februari (ambapo visa vingi vilikuwa bado uchina tu) zimeshuhudia hisia za ubaguzi wa rangi zikielekezwa katika vikundi tofauti ulimwenguni ya wachina kustahili virusi au kupokea kinachodaiwa kuwa adhabu inayofaa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(alms are) for the poor who are confined in the way of allah-- they cannot go about in the land; the ignorant man thinks them to be rich on account of (their) abstaining (from begging); you can recognise them by their mark; they do not beg from men importunately; and whatever good thing you spend, surely allah knows it.

Swahili

nawapewe mafakiri walio zuilika katika njia za mwenyezi mungu, wasio weza kusafiri katika nchi kutafuta riziki. asiye wajua hali zao huwadhania kuwa ni matajiri kwa sababu ya kujizuia kwao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,907,098,400 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK