Results for consciousness translation from English to Swahili

English

Translate

consciousness

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

the doors of consciousness

Swahili

milango ya fahamu

Last Update: 2022-07-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i hope bo regains consciousness, he has a head injury.

Swahili

ninaamini bo amepata fahamu tena, ana jeraha kichwani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and imbued it with (the consciousness of) its evil and its piety:

Swahili

kisha akaifahamisha uovu wake na wema wake,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the wave of social media backed revolutions in north africa has raised the consciousness of many.

Swahili

mawimbi ya mapinduzi yaliyosukumwa na vyombo ya habari vya kijamii katika nchi za kaskazini mwa afrika yameamsha uelewa kwa wengi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

make provision for yourselves -- but surely, the best of all provision is god-consciousness.

Swahili

na jitengezeeni zawadi. na hakika bora ya zawadi ni uchamngu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

several people appeared and beat him so severely that he lost his consciousness, and they took his cell phone and laptop.

Swahili

watu kadhaa walijotkeza na kumpiga vibay sana kiasi cha kupoteza fahamu na pia walichukua simu yake ya mkononi pamoja na ngamizi mpakato yake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

it penetrates the public consciousness at the discretion of the efficiency or the aggressiveness of reforms undertaken by the government to boost the private sector.

Swahili

ukuaji huu unajiingiza katika fikra za umma katika ufanisi au mageuzi makubwa yaliyochukuliwa na serikali kukuza sekta binafsi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

rather the "environmental consciousness" or sustainable living is caused by last year's topic; poverty.

Swahili

ila “uelewa wa kimazingira” ama maisha endelevu unasababishwa na mada ya mwaka jana; umasikini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and if they see the way of consciousness, they will not adopt it as a way; but if they see the way of error, they will adopt it as a way.

Swahili

wakiiona njia ya uwongofu hawaishiki kuwa ndiyo njia; lakini wakiiona njia ya upotofu wanaishika kuwa ndiyo njia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

(black consciousness is a political and philosophical movement to transform black thought that was founded by south africa anti-apartheid hero steve biko.)

Swahili

enyi watu wa afrika kusini, mnafahamu kweli kuwa wapo raia wenu wanaoishi katika nchi nyingine za afrika?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

whether if it is worth it to love this country has something to do with the collective consciousness of this country, whether it shows love, harmony, friendliness and generosity and whether it focuses on the prosperity, justice and civilization.

Swahili

kwamba ni muhimu kuipenda nchi hii ni suala la dhamira ya jumla ya watu wa nci hii, kwamba inaonyesha upendo, ushirika, urafiki na ukarimu na ikiwa lengo ni mafanikio, haki na ustaarabu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

although the fight against corruption has been boosted by the pf administration, there has been a lamentable failure to find a formula for addressing each of these issues in a sustainable manner as far as globally defining moments go, the year 2011 belonged almost exclusively to the arab spring – that sense of democratic consciousness that seemed to emanate spontaneously from the streets of tunis and spread like a virus through north africa and the middle east.

Swahili

ingawa vita dhidi ya ufisadi imepewa nguvu na serikali ya pf, yamekuwepo malalamiko ya kushindwa kupata kanuni ya kukabili kila kimoja katika masuala haya kwa namna iliyo endelevu kwa jinsi nyakati hizi katika ulimwengu wote zinavyoonyesha, mwaka 2011 umekuwa wa majira ya kuchipua ya urabuni –hali hiyo ya uelewa wa kidemokrasia ambao umeonekana kuanzia ghafla katika mitaa ya mji wa tunis na kuweza kusambaa kama virusi kwenda afrika kaskazini na mashariki ya kati.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,906,683,330 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK