From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
a future free from wars, blood and disputes.
maisha yatakayokuwa mbali kabisa na vita, damu na migogoro.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
invite to the way of your lord with wisdom and good advice and dispute with them in a manner that is best.
waite waelekee kwenye njia ya mola wako mlezi kwa hikima na mawaidha mema, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
call thou to the way of thy lord with wisdom and good admonition, and dispute with them in the better way.
waite waelekee kwenye njia ya mola wako mlezi kwa hikima na mawaidha mema, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
in the run-up to the kenyan elections in 2007, we had a similar scenario where opinion polls became the centre of vicious debates, claims and counter claims of doctored results depending on who or which party was favored or dismissed by the polls.
siku chache kabla ya uchaguzi nchini kenya mwaka 2007, tulikuwa na hali inayofanana na hiyo ambapo matokeo ya tafiti za kura za maoni ziliibua malumbano ya chuki, madai na pingamizi za madai kwamba matokeo yalikuwa yamechakachuliwa vilivyotegemea tu ni nani na ni chama gani kilipendelewa zaidi au kilipuuzwa katika kura za maoni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
and obey allah and his apostle, and dispute not, lest ye flag and your predominance depart, and be patient.
na mt'iini mwenyezi mungu na mtume wake, wala msizozane mkaingiwa woga, na zikapotea nguvu zenu. na subirini.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and dispute not with the people of the book unless in the best manner, save with those of them who do wrong; and say: we believe in that which hath been sent down unto us and that which hath been sent down unto you: our god and your god is one; and unto him we are submissive.
wala msijadiliane na watu wa kitabu ila kwa njia iliyo nzuri kabisa, isipo kuwa wale walio dhulumu miongoni mwao. na semeni: tumeyaamini yaliyo teremshwa kwetu na yaliyo teremshwa kwenu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.