Results for correspondents translation from English to Swahili

English

Translate

correspondents

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

i am one of 100 correspondents invited from around the globe.

Swahili

mimi ni mmoja wa wawakilishi wake 100 walioalikwa kutoka duniani kote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

reports from our correspondents say this happened during a live broadcast when security forces stormed the building and arrested the presenter, guests and producers.

Swahili

habari kutoka kwa waandishi wetu zinasema wakati matangazo ya moja kwa moja yakiendelea wanajeshi walivamia jengo na kumkamata mtangazaji, wageni waliokuwepo na watayarishaji wa kipindi hicho.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i finally understand that thing i’ve read about in books, where hardened correspondents talk about the desperation they feel to return to the completely screwed places they’ve covered when things take a turn for the worse.

Swahili

hatimaye nimefahamu lile jambo ambalo nimelisoma kwenye vitabu, ambapo waandishi wakongwe huliongelea kuhusu hisia ya kukata tamaa inayowapata wanapotaka kurejea kwenye maeneo yaliyoharibiwa kabisa ambayo waliwahi kuyaandika wakati mambo yalipochukua mkondo mbaya zaidi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a bbc correspondent reportedly witnessed "money being handed out at a polling station in the south of the capital, to people who later said they had been asked to vote for mr sassou-nguesso."

Swahili

mwandishi wa bbc anadai kuwa alishuhudia fedha zikitembezwa katika vituo vya upigaji kura kusini mwa mji mkuu, kwa watu ambao baadae walisema kuwa waliombwa kumpigia kura bw. sassou-nguesso.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,920,162,665 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK