Results for critical juncture translation from English to Swahili

English

Translate

critical juncture

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

critical

Swahili

critical

Last Update: 2023-01-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the absence of gas is critical.

Swahili

uhaba wa mafuta umefikia hali mbaya.

Last Update: 2024-01-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

have critical suppliers have been identified?

Swahili

Last Update: 2021-03-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

here are some sarcastic and critical twits:

Swahili

baadhi ya kejeli na ukosoaji ulioandikwa kwenye mtandao wa twita zilikuwa kama ifuatavyo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and i swear by the self-critical soul!

Swahili

na ninaapa kwa nafsi inayo jilaumu!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

many of them work with us in different ways and some are critical too.

Swahili

wengi wao wanafanya kazi na sisi kwa namna tofauti-tofauti na wengine hutuchambua vikali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

internet users in west africa were widely critical of the decision.

Swahili

watuamiaji wa intaneti katika eneo la afrika magharibi walipinga vikali uamuzi huo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

critical analyse six factors that determine decision making process at family level questions and answers

Swahili

critical analyse six factors which determine decision making process at family level maswali na majibu yak

Last Update: 2024-02-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

challenges in delivering critical childbirth and newborn care services were specially great in tacloban and leyte.

Swahili

changamoto katika huduma muhimu za kujifungua na kutunza watoto wachanga huduma zilikuwa sawa katika tacloban na leyte.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in other words, these two amino acid substitutions might be critical to viral adaption to humans.

Swahili

yaani, ubadilishaji wa asidi amino hizi mbili unaweza kuwa muhimu katika virusi kuzoeleka kwa binadamu.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

this moment is critical for the future and democracy of taiwan, we need the world's attention.

Swahili

wakati huu ni muhimu kwa ajili ya mustakabali na demokrasia ya taiwan, kwa hivyo tunahitaji kusikilizwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

but as long as they are still around, there will be at least some debate and critical thinking about current events.

Swahili

lakini, kadiri vitakavyoendelea kuwepo ndiyo kadiri hiyohiyo ambapo kutakuwa na mijadala ya kutafakarisha kuhusu matukio ya hivi karibuni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

he remained a loyal and good friend of aung san suu kyi although he was critical of some of her political decisions including the participation of the nld in the elections.

Swahili

aliendela kuwa rafiki mwaminifu na mzuri wa aung san suu kyi ingawa alikosoa baadhi ya maamuzi yake ya kisiasa ikiwa ni pamoja na ushiriki wa nld katika uchaguzi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

given such rapid progress in research on covid-19, several critical issues remain to be solved, as follows:

Swahili

kutokana na kuendelea kwa kasi kwa utafiti kuhusu covid-19, masuala mengi muhimu bado hayajatatuliwa, kama ifuatavyo:

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

thus, it is more critical and practical to isolate b cells from recovered patients and identify the genetic codes encoding effective antibodies or screen for effective antibodies against essential proteins of the virus.

Swahili

hivyo ni muhimu zaidi kutoa seli za b kutoka kwa wagonjwa waliopona na kutambua misimbo ya kijenetiki inayosimbua antibodi faafu au kuchunguza kutafuta antibodi faafu dhidi ya protini muhimu ya virusi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

government officials responded by blocking critical websites and making arrests, of bloggers and leaders from the religious right, at the height of #shahbag protests in 2013.

Swahili

kufuatia tuhuma hizi kwa wanablogu hawa, serikali iliamuru kufungwa kwa tovuti makini na kukamatwa kwa wanablogu pamoja na viongozi kwa kutumia sheria ya dini wakati ambapo maandamano ya #shahbag ya 2013 yalipokuwa wameshika hatamu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i order that californians working in these 16 critical infrastructure sectors may continue their work because of the importance of these sectors to californians' health and well-being.

Swahili

ninatoa amri kwamba wana california wanaofanya kazi katika sehemu hizi 16 muhimu za muundomsingi wanaweza kuendelea kufanya kazi zao kwa sababu ya umuhimu wa sekta hizi kwa afya na maslahi ya wana california.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

while the outside world appears unanimous in its praise for outgoing senegalese president abdoulaye wade and democracy after a peaceful election outcome in march 2012, the senegalese blogosphere has been more critical of former president wade's record.

Swahili

wakati ulimwengu wa nje ya senegali unaonekana kushabihiana katika kumwagia sifa kemkem rais wa senegali anayeondoka abdoulaye wade pamoja na kupongeza demokrasia iliyochukua nafasi baada ya matokeo ya uchaguzi uliojidhihirisha kuwa wa amani mwezi machi 2012, ulimwengu wa blogu nchini humo umekuwa mkosoaji mkubwa wa rekodi ya rais wade.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in ca 14% cases, covid-19 develops into a more severe disease requiring hospitalisation while the remaining 6% cases experience critical illness requiring intensive care.

Swahili

katika 14% ya visa, covid-19 hukua kwa ugonjwa wa hali mbaya zaidi unaohitaji mtu kulazwa hopsitalini huku 6% ya visa vilivyosalia vikiwa vya hali mahututi vinavyohitaji matibabu ya hali mahututi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

“today violence has turned toward the sectors of the press that hold critical positions toward those in power, because of their social function of investigating and informing, but this year's level of aggressions had not been seen in a decade," said la rue, who described the violence as a "step backwards for democracy and (the country's) peace process."

Swahili

“leo vurugu imegeuka kuelekea sekta ya vyombo vya habari ambayo inashikilia nafasi muhimu kuelekea wale walio katika madaraka, kwa sababu ya kazi yao ya kijamii ya kuchunguza na kutoa taarifa, lakini kiwango cha mwaka huu cha ushambulizi hakijaonekana katika muongo mmoja," alisema la rue, ambaye alielezea vurugu kama "hatua ya nyuma kwa ajili ya demokrasia na (nchi) mchakato wa amani."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,647,812,449 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK