From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
democracy demands the active participation of citizens in the political process, and that includes the right to criticise, and the right to decide the government of the day.
demokrasia inadai ushirikishaji huru wa raia kwenye michakato ya kisiasa, na hiyo inahusisha pia haki ya kukosoa, na haki ya kuamua serikali inayokuwa madarakani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
despite warnings, that jumping on the april fool's bandwagon would lead to an eternal hell as muslims don't lie, many netizens across the arab world, decided to use the day to criticise their governments.
pamoja na maonyo, kufuata mkumbo wa siku ya wajinga kungesababisha hukumu ya moto wa milele kwa kuwa waislamu hawapaswi kudanganya, watumiaji wengi wa mtandaoni uarabuni kote, waliamua kuzikosoa serikali zao siku hii.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: