Results for database translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

database

Swahili

kanzidata

Last Update: 2015-02-09
Usage Frequency: 3
Quality:

Reference: Anonymous

English

the subscribers will then be listed in a database.

Swahili

baadaye wateja hao wangeorodheshwa na kuingizwa kwenye mfumo wa hifadhidata.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the italian radiological society is compiling an international online database of imaging findings for confirmed cases.

Swahili

chama cha radiolojia ya italia inakusanya hifadhidata ya kimataifa mtandaoni ya matokeo ya picha za kimatibabu ya visa vilivyothibitishwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in this context, the development of a floods database will contribute to a more effective decision-making.

Swahili

kwenye muktadha huu, uundaji wa hifadhidata ya mafuriko utachangia katika uamuzi wenye ufanisi mkubwa zaidi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in my candid opinion and experience working with the national identification authority currently registering masses for the creating of a database of all ghanaians, i support the advice of the current electoral commissioner on this subject.

Swahili

kwa mtazamo wangu wa dhati na uzoefu wangu wa kufanya kazi na mamlaka ya vitambulisho ya taifa inayoandikisha watu ili kutengeneza taarifa za waghana wote, ninaunga mkono ushauri wa kamishna wa tume ya uchaguzi katika mada hii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the global development blog of the guardian's (uk) continues its coverage of land deals after the release of the largest public database on international land deals in april.

Swahili

blogu ya maendeleo ya kidunia inayoendeshwa na jarida la uingereza la the guardian inaendelea kuandika habari za kugawa ardhi baada ya kuwekwa wazi kwa taarifa kuu za umma zinazohusu mgawanyo wa ardhi mwezi aprili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

an estimated 4,355 syrian children have been killed (up to 15/1/2013) in the on-going conflict in syria, according to latest report released by martyrs of the syrian revolution database.

Swahili

inakadiriwa kuwa, watoto wa syria 4,355 wamekwishakuuawa (hadi tarehe 15/1/2013) katika mgogoro unaoendelea nchini syria, hii ni kwa mujibu wa taarifa za hivi karibuni zilizotolewa na hifadhi ya mapinduzi ya syria ya martyrs .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,957,638,168 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK