Results for deemed translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

the searches were deemed unconstitutional in court.

Swahili

kukaguliwa kulithibitishwa na mahakama ya sheria kuwa kinyume na katiba.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

or can light and darkness be deemed equals?"

Swahili

au hebu huwa sawa giza na mwangaza?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

twitter user bengalithings deemed meena a role model:

Swahili

mtumiaji wa twita, bengalithings alimtambua meena kama kioo katika jamii:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and when she saw it she deemed it a pool and bared her legs.

Swahili

alipo liona alidhani ni maji, na akapandisha nguo mpaka kwenye miundi yake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

say: "can the blind and the seeing be deemed equals?

Swahili

sema: hebu kipofu na mwenye kuona huwa sawa?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

he verily deemed that he would never return (unto allah).

Swahili

huyo hakika alidhani kuwa hatarejea tena.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we are grateful that a range of organizations have deemed our work to be worthy of their financial support.

Swahili

tunashukuru kwamba mashirika kadhaa yameiona kazi yetu kuwa ina thamani kwa ufadhili wao kifedha.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

deemed ye then that we had created you for naught, and that ye would not be returned unto us?

Swahili

je! mlidhani ya kwamba tulikuumbeni bure na ya kwamba nyinyi kwetu hamtarudishwa?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and on the day when he will call them and say: where are those whom you deemed to be my associates?

Swahili

na siku atakapo waita na akasema: wako wapi mlio kuwa mkidai kuwa ni washirika wangu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

all food was lawful for the children of israel except for what israel had deemed unlawful for himself before the torah was revealed.

Swahili

kila chakula kilikuwa halali kwa wana wa israili isipo kuwa alicho jizuilia israili mwenyewe kabla haijateremshwa taurati.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

ghanem faces 18 months in prison for an unpublished caricature of algeria's president abdelaziz bouteflika that was deemed offensive by the authorities.

Swahili

ghanem anakabiliwa na kifungo cha miezi 18 jela kwa kosa la kuchora kikaragosi ambacho hata hivyo hakikuchapishwa cha rais wa algeria abdelaziz bouteflika kilichohesabiwa na mamlaka za dola nchini humo kuwa ni matusi that was deemed offensive.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

as a justice of the peace, he should be aware that interracial marriage is not illegal anymore – having been deemed unconstitutional 40 years ago.

Swahili

kama jaji wa masuala ya amani, anatakiwa kuelewa kwamba ndoa za rangi tofauti si kinyume cha sheria tena – baada ya kuonekana ni kinyume cha katiba miaka 40 iliyopita.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and those who were arrogant will say to those who were deemed weak: "did we keep you back from guidance after it had come to you?

Swahili

walio takabari watawaambia wanyonge: kwani sisi ndio tulio kuzuieni na uwongofu baada ya kukujieni?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

it was said to her: enter the palace; but when she saw it she deemed it to be a great expanse of water, and bared her legs.

Swahili

akaambiwa: liingie behewa la hili jumba. alipo liona alidhani ni maji, na akapandisha nguo mpaka kwenye miundi yake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and remember when you were few, deemed weak in the land, fearing lest people might carry you off by force, but he sheltered you and strengthened you with his aid and gave you of the good things that you may give thanks.

Swahili

na kumbukeni mlipo kuwa wachache, mkionekana wanyonge katika nchi, mnaogopa watu wasikunyakueni, naye akakupeni pahala pazuri pa kukaa, na akakutieni nguvu kwa nusura yake, na akakupeni riziki nzuri ili mpate kushukuru.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and recall when you were few in numbers and deemed weak in the land, fearful lest people do away with you. then he provided you refuge, strengthened you with his help, and provided you sustenance with good things that you may be grateful.

Swahili

na kumbukeni mlipo kuwa wachache, mkionekana wanyonge katika nchi, mnaogopa watu wasikunyakueni, naye akakupeni pahala pazuri pa kukaa, na akakutieni nguvu kwa nusura yake, na akakupeni riziki nzuri ili mpate kushukuru.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and those who were deemed weak shall say to those who were proud. nay, (it was) planning by night and day when you told us to disbelieve in allah and to set up likes with him.

Swahili

na wanyonge wakawaambia walio takabari: bali ni vitimbi vyenu vya usiku na mchana, mlipo kuwa mkituamrisha tumkufuru mwenyezi mungu, na tumfanyie washirika. nao wataficha majuto watakapo iona adhabu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a group of around 100 people, including public figures and media, congregated in front of the buildings of the global foundation for democracy and development (funglode), an institution set up by former president leonel fernández reyna, who is deemed responsible for having bankrupted the nation during his eight years in power (see video here) .

Swahili

kundi la watu karibu 100, likijumuisha watu maarufu na vyombo vya habari, walikusanyika mbele ya majengo ya taasisi ya mfuko wa kimataifa wa demokrasia na maendeleo (funglode), taasisi iliyoanzishwa na rais wa zamani leonel fernández reyna, ambaye anatuhumiwa kuifilisi nchi hiyo katika miaka yake nane ya kuwa madarakani (angalia video hapa) .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,909,789,327 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK