Results for defendants translation from English to Swahili

English

Translate

defendants

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

only 51 defendants attended the trial because the space could not hold more defendants.

Swahili

washitakiwa 51 walihudhuria mashitaka hayo mahakamani kwa sababu hapakuwa na sehemu ya kuwawezesha wote kusimama mahakamani kwa wakati mmoja.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

abd el fattah is one of 25 defendants in what has become known as the shura council case.

Swahili

abd el fattah ni mmoja wapo wa washitakiwa 25 katika kile kilichokuja kujulikana kama kesi ya baraza la shura.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

529 defendants were sentenced to death and 15 were acquitted in the rabaa dispersal aftermath in minya trial.

Swahili

washitakiwa 529 wamehukumiwa kifo na wengine 15 wakionekana hawana hatia kufuatia kesi ya minya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the lawyers of the defendants "not in absentia" were not allowed to defend their defendants !!

Swahili

wanasheria waliokuwa wanawatetea "washitakiwa wasiokuwepo" hawakuruhusiwa kuwatetea washitakiwa !!!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

three of the 10 defendants are not members of any political party but ordinary citizens who were arrested for applying to attend a course.

Swahili

watatu kati ya washtakiwa 10 hawakuwa wanachama wa chama chochote cha siasa zaidi ya kuwa raia wa kawaida waliokamatwa kwa kuomba kupata mafunzo ya usalama wa mtandaoni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

eighteen other defendants were sentenced to three years in prison and three years on probation, in addition to a similar fine.

Swahili

washitakiwa wengine kumi na nane walihukumiwa miaka mitatu jela na miaka mitatu mingine ya uangalizi, mbali na kiwango kile kile cha faini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the defendants’ attorneys and families were not given prior notice about the hearing, and they thus had no legal representation present when the charges were issued.

Swahili

wanasheria na ndugu wa washitakiwa hao hawakupewa taarifa ya kusomewa mashitaka yao, na hivyo hakupata msaada wa kusheria wakati mashitaka yao yanasomwa..

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

"authorities in saudi arabia routinely flout international standards for fair trial and safeguards for defendants, who are often denied representation by lawyers and not informed of the progress of legal proceedings against them.

Swahili

"mamlaka za saudi arabia mara kwa mara zimekiuka viwango vya kimataifa vinavyoongoza mashitaka ya haki na kuhakikisha usalama wa watuhumiwa, ambao mara nyingi wananyimwa haki ya kuwakilishwa na wanasheria wala haki ya kujulishwa mwenendo wa mashitaka yanayowakabili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

defendant

Swahili

kushtakiwa

Last Update: 2019-11-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,878,039,535 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK