From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
the pro-presidential nuns entered the current parliament with 72 deputies in autumn 2007.
wajumbe wanaomuunga mkono rais waliingia bungeni wakiwa na manaibu 72 wakati wa majira ya kipupwe 2007.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
paradox, people who resent muslims making women wear headscarves, calmly accept deputies attempting to ban abortions .
watu ambao ziku za hivi karibuni walisababisha wanawake wa kiislam kuanza kuvaa hijabu, kwa upole kabisa wanapokea hatua ya wabunge ya kutaka kupiga marufuku utoaji mimba..
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
only 10 deputies supported a -sponsored no confidence motion in the tymoshenko-led government in the ukrainian parliament today.
manaibu wajumbe 10 tu ndio waliounga mkono muswada wa kutokuwa na imani uliofadhiliwa na katika serikali inayoongozwa na tymoshenko katika bunge la ukraine leo hii.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
god has promised the righteously striving believers to appoint them as his deputies on earth, as he had appointed those who lived before. he will make the religion that he has chosen for them to stand supreme.
mwenyezi mungu amewaahidi wale walio amini miongoni mwenu na wakatenda mema, ya kwamba atawafanya makhalifa katika ardhi kama alivyo wafanya makhalifa wa kabla yao, na kwa yakini atawasimamishia dini yao aliyo wapendelea, na atawabadilishia amani baada ya khofu yao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
wherefore if demetrius, and the craftsmen which are with him, have a matter against any man, the law is open, and there are deputies: let them implead one another.
kama, basi demetrio na wafanyakazi wake wana mashtaka yao kuhusu watu hawa, yapo mahakama na wakuu wa mikoa; wanaweza kushtakiana huko.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
the goal of the campaign, which included avaaz.org in recent weeks, was to gather 2 million signatures before today wednesday april 7, the day the project is to be decided on in the chamber of deputies.
lengo la kampeni hiyo, ambayo katika majuma ya karibuni ilijumuisha avaaz.org, ilikuwa kupata sahihi zipatazo milioni 2 kabla ya tarehe 7 aprili, yaani katika siku ambapo mradi huo hauna budi kutolewa uamuzi katika chemba cha wasaidizi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
one of deputies in the iranian parliament asked kordan: "how did you get your ph.d. in law, when you say you wrote your thesis in islamic education?"
mmoja wa wasaidizi katika bunge la irani aliwahi kumuuliza kordan: “ulipataje shahada yako ya udaktari katika sheria wakati wewe unadai kwamba uliandika utafiti (thesis) wako kuhusu elimu ya kiislamu?"
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
deputy teacher in kiswahili huitwa
naibu mwalimu katika kiswahili huitwa
Last Update: 2022-05-07
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: