Results for detection translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

detection of antibodies (serology) can be used both for diagnosis and population surveillance.

Swahili

ugunduaji wa antibodi (serolojia) unaweza kutumika katika uchunguzi pamoja na ufuatiliaji wa watu.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

finally, early detection of a confirmed covid-19 case has exemplified the rapid implementation of this enhanced surveillance in the national network.

Swahili

hatimaye, ugunduzi wa kisa kilichothibitishwa cha covid-19 umeonyesha utekelezaji wa haraka wa uchunguzi huu ulioboreshwa katika mtandao wa kitaifa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

an earlier study on diseased pangolins also reported the detection of viral contigs from lung samples, which turn out to be similarly related to sars-cov-2.

Swahili

utafiti wa awali kwenye kakakuona waliokuwa wagonjwa pia uliripoti kugunduliwa kwa virusi katika sampuli za figo ambavyo, vilitokea kuwa na uhusiano na sars-cov-2.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

these modifications based on the researchers continued work that to search for an optimal nucleic acid detection kit for rapid diagnosis, as well as the samples from respiratory tract including blood sampling, which increased the availability of different specimens, and supported bringing the specific antibody positive result into the confirmed criteria.

Swahili

marekebisho haya kulingana na watafiti yaliendeleza kazi ya kutafuta kifurushi bora cha kugundua asidi ya nyuklea kwa ajili ya upimaji haraka, pamoja na sampuli kutoka kwa njia ya pumu ikiwa ni pamoja na sampuli wa damu, ambayo iliongeza upatikanji wa sampuli tofauti na kusaidia kuletwa kwa matokeo chanya ya antibodi mahususi katika utaratibu uliothibitishwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a first lab survey revealed that as of calendar week 12/2020 a total of at least 483,295 samples were tested up to and including week 12/2020 and 33,491 samples (6.9%) tested positive for sars-cov-2.in israel, researchers at technion and rambam hospital developed and tested a method for testing samples from 64 patients simultaneously, by pooling the samples and only testing further if the combined sample is found to be positive.in wuhan a makeshift 2000-sq-meter emergency detection laboratory named "huo-yan" (chinese: 火眼, or "fire eye" in english) was opened on 5 february 2020 by bgi, which can process over 10,000 samples a day.

Swahili

utafiti wa maabara ya kwanza ilionyesha kuwa kufikia wiki ya kalenda 12/2020 jumla ya angalau sampuli 483,295 zilipimwa hadi na ikiwemo wiki ya 12/2020 na sampuli 33,491 (6.9%) zilipatikana kuwa na sars-cov-2.huko israeli, watafiti katika hospitali ya technion na rambam walibuni na kujaribu mbinu ya kupima sampuli kutoka wagonjwa 64 kwa wakati moja, kwa kuweka pamoja sampuli na kupima zaidi ikiwa mchanganyiko wa sampuli inapatikana kuwa imeathirika.huko wuhan maabara ya ugunduzi wa dharura ulioundwa wa muda ya mita ya mraba 2000 iitwayo "huo-yan" (kichina: 火眼, au "fire eye" katika kiingereza) ilifunguliwa tarehe 5 februari 2020 na bgi, na inaweza kuchinguza sampuli 10,000 kwa siku.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
9,155,682,383 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK