From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
printer '%s' is low on developer.
developer
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
are you a journalist, a web developer, a web tv or podcast producer?
wewe ni mwandishi wa habari, muundaji wa tovuti, mtayarishaji wa vipindi vya runinga mtandaoni au podikasti?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the most famous one was the chongqing nail house case in 2007, when a chinese couple reached negotiated agreement with the developer after 3 years of standoff.
kisa kilicho maarufu zaidi kilikuwa kile cha nyumba ya misumari ya chongqing cha mwaka 2007, ambapo wanandoa fulani walifikia makubaliano na mwendelezaji baada ya miaka mitatu ya mvutano.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
safadi, who has been in prison for almost four years, is also a well-known open-source software developer.
safadi, ambaye amekuwa gerezani kwa zaidi ya miaka minne, anafahamika sana kama mtengenezaji wa zana huria za mtandaoni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nucleic acid (dna and rna) (phase i developer and vaccine candidate: moderna, mrna-1273)
asidi za kiini cha chembe (dna na rna) (mkuzaji wa awamu ya i na chanjo kilichoteuliwa: moderna, mrna-1273)
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
alan emtage, web developer and inventor of archie, the internet's first search engine, speaks to us from barbados on his experience as a web pioneer.
alan emtage, mtengenezaji wa mtandao na mbunifu wa archie, mtandao wa kwanza wa kutafutia maudhui kwenye intaneti, anazumngumza nasi kutoka barbados kuhusiana na uzoefu wake kama mwanzilishi wa mtandao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a group of developers and designers from europe who are curious about the emerging african tech hubs are on hack trip of the continent.
kikundi cha watengenezaji na wabunifu wa teknolojia kutoka ulaya ambao wanadadisi ukuaji wa vituo vya teknolojia barani afrika wanaendelea na safari yao ya gari barani humu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: