From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
allah is not one to leave the believers in the state wherein ye are until he hath discriminated the impure from the pure.
haiwi kwa mwenyezi mungu kuwaacha waumini katika hali mliyo nayo mpaka apambanue wabaya na wema.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
in hong kong, students in schools admit that homosexual students are bullied and discriminated, so an organization has spearheaded a campaign to raise awareness on this issue, focusing on producing online videos of interviews with sexually diverse students and experts on the topic.
nchini hong kong, wanafunzi katika shule wanakiri kwamba wanafunzi mashoga wanazomewa na kunyanyaswa, kwa hiyo kuna shirika limeanzisha kampeni ya kukuza uelewa wa suala hili, wakijikita zaidi kwenye kuandaa video zenye mahojiano na wanafunzi wenye mihemuko tofauti ya kimapenzi pamoja na wataalamu katika mada zinazohusika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
amongst those suggestions were the inclusion of gender identity and hiv status as motives for which it is never admisible for a human being to be discriminated against in a work environment, which fall within the fundamental principles that govern our labor rights, in section b, article 2 of that legal document.
miongoni mwa mapendekeo hayo kulikuwa na kipengele cha kuweka utambulisho wa kijinsia na hali ya afya ya ukimwi kama sababu ambayo haikubaliki kwa binadamu kubaguliwa katika mazingira ya kazi, haki inayoangukia kwenye kanuni za msingi zinazoongoza haki za kazi, kwenye sehemu b, ibara ya 2 ya waraka huo wakisheria.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in the video, zé roberto, the tricolor team's midfielder, former player on brazil's national team, tells how he was never a victim of racism on the field, but before becoming a successful player, he was discriminated against during an interview because of his skin color.
katika video, ze roberto, kiungo wa timu ya tricolor, aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya brazil, anaelezea jinsi yeye kamwe hajawahi kuwa mwathirika wa ubaguzi wa rangi kwenye uwanja, lakini kabla ya kuwa mchezaji wa mafanikio, alibaguliwa wakati wa mahojiano kwa sababu ya ngozi yake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: