Results for dissatisfaction translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

dissatisfaction

Swahili

kutosheka

Last Update: 2022-03-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

glady shao summarised her dissatisfaction with the current political leadership in the country:

Swahili

glady shao alionesha kutokuridhika kwake na uongozi wa kisiasa uliopo nchini humo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

most tweets express a sense of nostalgia, despair and total dissatisfaction with how the country is run since his death.

Swahili

twiti nyingi zimejaa mchanganyiko wa hisia, kukata tamaa na kutokuridhishwa na namna nchi inavyoendeshwa tangu afariki dunia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in the days leading up to the protest, the group occupyghana posted messages that explained their dissatisfaction with government and the state of things in the country.

Swahili

katika siku za kukaribia maandamano, kundi la occupyghana liliweka jumbe zilizokuwa zikielezea kutokuridhishwa na serikali pamoja na namna hali ya mambo ilivyo nchini mwao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

many netizens took for granted that the spanish state had paid the ransom for aid workers and expressed their dissatisfaction, sometimes accusing the aid workers of being reckless and seeking their own misfortune.

Swahili

raia wengi wa mtandao hawakujali kuwa serikali ya kihispania ilikuwa imelipa fidia kwa ajili ya wafanyakazi hao na wakaonyesha kutoridhika kwao, wakati mwingine wakiwalaumu wafanyakazi hao kwa kutokuogopa hatari na kujitafutia matatizo yao wenyewe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

as the election has come closer, opinion polls have shown growing dissatisfaction with jonathan’s government and buhari has emerged as a possible winner of the election.

Swahili

kadiri siku za kupiga kura zilivyokaribia, kura za maoni zimeonesha ongezeko la wananchi waliokosa imani na sserikali ya rais goodluck jonathan na hivyo mwanajeshi mstaafu muhamudu buhari ameonekana kuwa anaweza kushinda kwenye uchaguzi huo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

those unwilling to vote often cite their dissatisfaction with the performance of the political class during the past three years, arguing that the 2011 elections 'did not bring any change'.

Swahili

wale wasiopenda kupiga kura mara nyingi huzungumzia kutokuridhishwa kwao na utendaji wa kada ya wanasiasa katika miaka mitatu iliyopita, wakitumia hoja kuwa uchaguzi wa mwaka 2011 'hakuleta tija wala mabadiliko yoyote'.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

though not directly linked to the protests in mtwara, the tpdc-statoil affair underlines a growing awareness among tanzanians of the issues surrounding oil and gas, and an increasing dissatisfaction with the way the government handles natural resources contracts and communicates this information to citizens.

Swahili

pamoja na kuwa hakuna uhusiano wa moja kwa moja na vurugu zilizotokea mtwara, uhusiano uliopo kati ya tpdc na statoil wapelekea wananchi wengi wa tanzania kuongeza umakini wao kwenye masuala ya mafuta na gesi, na pia kuongezeka miongoni mwao kwa kutoridhishwa na namna serikali inavyosimamia mikataba ya rasilimali za asili na namna inavyowashirikisha wananchi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,770,869,110 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK