From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
that day will be a hard and distressing day.
siku hiyo, basi, itakuwa siku ngumu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
i will make a distressing punishment overtake him.
nitamtesa kwa mateso yasio wezekana.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
the sight of delmas looks distressing, astounding.
mwonekano wa eneo la delmas ni wa kusikitisha, unaogofya.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
surely the hour will be the moment of their promise, and that moment will be calamitous and distressing.
bali saa ya kiyama ndio miadi yao, na saa hiyo ni nzito zaidi na chungu zaidi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
then when they forgot that wherewith they had been exhorted, we delivered those who restrained from evil, and we laid hold of those who did wrong with a distressing torment for they were wont to transgress.
basi walipo yasahau waliyo kumbushwa, tuliwaokoa walio kuwa wakikataza maovu, na tukawatesa walio dhulumu kwa adhabu mbaya kwa vile walivyo kuwa wakifanya upotovu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and when our messengers came to lot, he was perturbed by their coming and felt troubled on their account, and said: 'this is a distressing day.
na wajumbe wetu walipo kuja kwa lut' aliwahuzunukia na akawaonea dhiki. akasema: hii leo ni siku ngumu!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: