From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
now the spirit speaketh expressly, that in the latter times some shall depart from the faith, giving heed to seducing spirits, and doctrines of devils;
roho asema waziwazi kwamba siku za baadaye watu wengine wataitupilia mbali imani; watazitii roho danganyifu na kufuata mafundisho ya pepo.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
be not carried about with divers and strange doctrines. for it is a good thing that the heart be established with grace; not with meats, which have not profited them that have been occupied therein.
msipeperushwe huku na huku kwa mafundisho tofauti ya kigeni. neema ya mungu ndiyo inayoimarisha roho zetu na wala si masharti juu ya chakula; masharti hayo hayakumsaidia kamwe mtu yeyote aliyeyafuata.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
and they continued stedfastly in the apostles' doctrine and fellowship, and in breaking of bread, and in prayers.
hawa wote waliendelea kujifunza kutoka kwa mitume, kuishi pamoja kidugu, kumega mkate na kusali.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: