Results for enduring translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

indeed its punishment is enduring.

Swahili

hakika adhabu yake ikimpata mtu haimwachi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and allah is better and more enduring."

Swahili

na mwenyezi mungu ndiye mbora na mwenye kudumu zaidi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

early morning brought upon them enduring punishment.

Swahili

na iliwafikia wakati wa asubuhi adhabu yangu ya kuendelea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but the everlasting life is better, and more enduring.

Swahili

na akhera ni bora na yenye kudumu zaidi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and the world to come is better, and more enduring.

Swahili

na akhera ni bora na yenye kudumu zaidi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

allah willing, you will soon find me patiently enduring!”

Swahili

akasema: ewe baba yangu! tenda unavyo amrishwa, utanikuta mimi, inshallah, katika wanao subiri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but that which is with allah is better and more enduring.

Swahili

na yaliyoko kwa mwenyezi mungu ndio bora na yatakayo baki zaidi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

surely in that are signs for every man enduring, thankful.

Swahili

basi tukawafanya ni masimulizi tu, na tukawatawanya tawanya. hakika katika hayo bila ya shaka zimo ishara kwa kila mwenye kusubiri sana na akashukuru.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and the punishment of the hereafter is more severe and more enduring.

Swahili

na hakika adhabu ya akhera ni kali zaidi, na inadumu zaidi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for those who believe and do good works is an enduring wage'

Swahili

hakika wanao amini na wakatenda mema watakuwa na ujira usio na ukomo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and he made it an enduring word in his progeny, so that they may return.

Swahili

na akalifanya hili liwe neno lenye kubaki katika vizazi vyake ili warejee.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but the clean provision bestowed upon you by your lord is better and more enduring.

Swahili

na riziki ya mola wako mlezi ni bora na inadumu zaidi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and he made it a word enduring among his seed, that haply they might return.

Swahili

na akalifanya hili liwe neno lenye kubaki katika vizazi vyake ili warejee.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and he made it a word enduring among his posterity; haply so they would return.

Swahili

na akalifanya hili liwe neno lenye kubaki katika vizazi vyake ili warejee.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and remember ismail, and idrees, and zul-kifl; they were all patiently enduring.

Swahili

na ismail, na idris, na dhulkifli - wote walikuwa miongoni mwa wanao subiri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

indeed, the most compassionate lord will soon create enduring love for those who believe and do righteous works.

Swahili

hakika walio amini na wakatenda mema arrahmani mwingi wa rehema atawajaalia mapenzi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they will wish to get out of the fire, but never are they to emerge therefrom, and for them is an enduring punishment.

Swahili

watataka watoke motoni, lakini hawatatoka humo, na watakuwa na adhabu inayo dumu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but the enduring good deeds are better to your lord for reward and better for [one's] hope.

Swahili

na mema yanayo bakia ni bora mbele ya mola wako mlezi kwa malipo, na bora kwa matumaini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and allah increases those who were guided, in guidance, and the enduring good deeds are better to your lord for reward and better for recourse.

Swahili

na mwenyezi mungu huwazidishia uwongofu wenye kushika uwongofu. na mema yenye kudumu ni bora katika malipo mbele ya mola wako mlezi na yana mwisho mwema.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is he who created you from a single soul, then there is the [enduring] abode and the place of temporary lodging.

Swahili

na yeye ndiye aliye kuzalisheni kutokana na nafsi moja. pako pahali pa kutulia na pa kupita njia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,877,199,646 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK