Results for estimated translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

estimated earnings

Swahili

maoteo ya mapato

Last Update: 2024-12-12
Usage Frequency: 1
Quality:

English

estimated net worth: $150 million.

Swahili

inakadiriwa kuwa ana mali zenye thamani ya dola za marekani milioni 150 (zaidi ya tsh.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is estimated that wild elephants number around 300 to 600:

Swahili

inakadiriwa kuwa tembo wa porini idadi yake inakadiriwa kuwa kati ya 300 hadi 600:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

an estimated of 17,000 buildings were evacuated during the drill.

Swahili

majengo yanayokadiriwa kuwa 17,000 yalifanyiwa uokozi wakati wa mafunzo hao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

furthermore, peaks in new cases have been estimated by distributional methods.

Swahili

isitoshe, upeo katika visa vipya umekadiriwa kupitia mbinu za kiusambazaji.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the total number of street children in bangladesh is estimated at 400,000.

Swahili

jumla ya watoto hao wa mitaani nchini bangladeshi inakadiriwa kuwa laki nne (karibu nusu milioni).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is estimated that there are only 300 scarlet macaw families left in the mayan biosphere.

Swahili

ina kadiriwa kuwa kuna jamii 300 tu za macaw wekundu waliobaki katika mazingira ya kibaiolojia ya maya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

as of 2009, it is estimated that over 65 percent of malaysian homes were connected to the internet.

Swahili

mpaka kufika mwaka 2009, zaidi ya asilimia 65 ya nyumba nchini malaysia tayari zilikuwa zimeunganishwa na mtandao wa intaneti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in china, an estimated 13,000 children have fallen ill since the tainted milk scandal broke.

Swahili

nchini china inakadiriwa kuwa watoto 13,000 wameugua tangu sakata la maziwa yasiyofaa kuibuka.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a statistical analysis published 30 march estimated that numbers of infections in italy were considerably greater than the reported cases.

Swahili

uchunguzi wa takwimu iliyochapishwa 30 machi ilikadiria kuwa nambari ya maambukizi italia zilikuwa zaidi sana kuliko visa vilivyoripotiwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and they estimated not allah with an estimation due unto him when they said: on no human being hath god sent down aught.

Swahili

na hawakumkadiria mwenyezi mungu kwa haki ya kadri yake, walipo sema: mwenyezi mungu hakumteremshia mwanaadamu chochote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is estimated that children, most between 8 and 16 years old, make up 60% of combatants in the region.

Swahili

inakadiriwa kwamba watoto, wengi wakiwa kati ya miaka minane na 16, wanakaribia asilimia 60 ya wapiganaji katika eneo hilo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

boko haram lost an estimated 100 combatants in the clash but a suicide bomber detonated explosives in the city a few hours later, killing 5 civilians.

Swahili

boko haram imepoteza zaidi ya wnaamgambo 100 kwenye mapigano hayo lakini mtu aliyejitolea mhanga alijilipua mjini masaa machache baadae, na kuua watu wasiopungua watano.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

case fatality rate is estimated at 1-3% of infected individuals, most of whom are elderly with underlying health conditions.

Swahili

idadi ya vifo inakadiriwa kuwa asilimia 1-3 ya watu walioambukizwa, wengi wao wakiwa wazee walio na matatizo mengine ya kiafya.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and they estimated not allah with an estimation due unto him whereas the whole earth shall be his handful on the day of judgment, and the heavens shall be rolled in his right hand.

Swahili

na wala hawakumhishimu mwenyezi mungu kama anavyo stahiki kadiri yake. na siku ya kiyama ardhi yote itakuwa mkononi mwake, na mbingu zitakunjwa katika mkono wake wa kuume.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

iran's afghan refugee population nears 1 million, with an additional estimated 1.4 to 2 million unregistered refugees living and working in the country.

Swahili

wakimbizi wenye asili ya afghanistani inakaribia milioni 1, huku ikiaminika kwamba kuna wakimbizi wasioandikishwa wanaokadiriwa kuwa kati ya milioni 1.4 na 2 wanaoishi na kufanya kazi zao nchini humo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is estimated that there are 35-to-50 million ak-47s in existence, not counting those that are manufactured illegally each year.

Swahili

inakadiriwa kuwa kuna idadi ya ak-47 zinazokadiriwa kufika milioni 35-hadi-50, na bila kuhesabu zile zinazotengenezwa kinyemela kila mwaka.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the drought has affected 800,000 hectares of farmland by the end of october, official sources estimated, and the snow storm was said to be a much-needed boon to local farmers.

Swahili

ukame umeathiri heka 800,000 za mashamba kufikia mwishoni mwa oktoba, vyanzo rasmi vilikadiria, na tufani ya barafu inasemekana kuwa ilihitajika sana kama msaada kwa wakulima wa sehemu hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

apart from the super-spreaders, it was estimated that each case could give rise to approximately two secondary cases, with an incubation period of 4 to 7 days and the peak of viral load appearing on the 10th day of illness.

Swahili

kando na vienezi vikuu, ilikadiriwa kwamba kila kisa kingeibua takriban visa viwili vya pili na kipindi kati ya kuambukizwa na kujitokeza cha siku 4 hadi 7 na upeo wa kiwango cha virusi ukionekana siku ya 10 ya ugonjwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for cases with missing onset dates, date of onset was estimated by subtracting 4 days (median interval from symptom onset to specimen collection date among cases with known dates in these data) from the earliest specimen collection.

Swahili

katika visa vilivyokosa tarehe ya kuanza, tarehe ya kuanza ilikadiriwa kwa kuondoa siku 4 (muda wa kati kutoka kuanza kwa dalili hadi kukusanywa kwa data miongoni kwa visa vilivyo na tarehe zinazojulikana kwenye data hizi) kutoka wakati mapema zaidi sampuli ilipokusanywa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,913,966,768 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK