Results for ethiopia translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

ethiopia

Swahili

ethiopia

Last Update: 2013-09-29
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Wikipedia

English

synonym for ethiopia

Swahili

kisawe cha ethiopia

Last Update: 2021-10-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the organisation called ethiopia to:

Swahili

asasi hiyo ilitoa mwito kwa ethiopia:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

#ethiopia: #journalism is not terrorism.

Swahili

uandishi si ugaidi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

gambella is the poorest region in ethiopia.

Swahili

gambella ni eneo masikini zaidi nchini ethiopia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

edom kassaye on a research trip in harar, ethiopia, july 2013.

Swahili

edom kassaye akiwa kwenye safari ya kitafiti huko harar, ethiopia, julai 2013.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

has ethiopia crossed into the twilight zone, the fifth dimension?...

Swahili

je, ethiopia imevuka mipaka, kwa kiwango cha tano?...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

ethiopia: land, history and justice in gambella · global voices

Swahili

ethiopia: ardhi, historia na haki katika eneo la gambella

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

on april 25, 2014, nine bloggers and journalists were arrested in ethiopia.

Swahili

mnamo aprili 25, 2014, wanablogu tisa wakiwemo waandishi wa habari waliwekwa kizuizini nchini ethiopia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

a facebook group called stop land grabbing in gambella, ethiopia reads:

Swahili

kundi la facebook liitwalo zuia unyang’anyi wa ardhi gambelle, ethiopia linaandika:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

ethiopia today might as well be called the “republic of dystopia”.

Swahili

ethiopia ya leo inaweza pia kuitwa “jamhuri ya daistopia”.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

#ethiopia - journalist #reeyotalemu's 1000th day in prison today.

Swahili

siku ya 1,000 kwa mwandishi reeyotalemu gerezani leo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

sources revealed that ethiopia will provide a supply of clean water before the millennium development goals deadline

Swahili

vyanzo vinasema kuwa ethiopia itaweza kutoa huduma maji safi ya kunywa kabla ya tarehe ya mwisho ya kufikiwa kwa malengo ya milenia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

tanzania, ethiopia: meles zenawi 'tweets' from grave · global voices

Swahili

tanzania, ethiopia: meles zenawi 'atuma twiti' kutoka kilindi cha kaburi

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

an article by the electronic frontier foundation shows the increasing attempts of silencing online activists and netizens in ethiopia.

Swahili

makala iliyoandikwa na asasi ya electronic frontier foundation inaonesha kuongezeka kwa juhudi za kuwanyamazisha wanaharakati wa mtandaoni pamoja na watumiaji wa jumla wa mitandao hiyo wanaoishi ethiopia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

atnaf berhane, member of the zone 9 bloggers, was jailed for blogging about human right violations in ethiopia.

Swahili

atnaf berhane, mmoja wa wanablogu wanaounda kundi la wanablogu wa zone 9, amefungwa gerezani kwa sababu ya kublogu kuhusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu nchini ethiopia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in one of his blog posts he mocked a subject which mainstream newspapers from inside ethiopia haven’t dared to acknowledge.

Swahili

katika moja ya makala zake za blogu, alitoa dhihaka dhidi ya watu fulani ambao kamwe magazeti ya nchini ethiopia hayakuthubutu kukanusha.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

a space for the international community to voice its concerns over the human rights abuses and environmental destruction the land grabbing happening in the gambella region of ethiopia is causing

Swahili

nafasi kwa ajili ya jamii ya kimataifa kupaza sauti yake dhidi ya uvunjifu wa haki za binadamu na uharibifu wa mazingira unaosababishwa na unyang’anyi wa ardhi unaoendelea eneo la gambella nchini ethiopia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i have never been to ethiopia, but i have followed the never-ending trials of the bloggers closely through social media and conversations.

Swahili

sikuwahi kufika ethiopia, lakini nimefuatilia kwa ukaribu kupitia mitandao ya kijamii pamoja na kwenye majadiliano mashitaka ya wanablogu hawa yasiyoisha.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

one of the countries covered in the report is ethiopia where villagers in gambella province are forced to settle in state-designated villages to pave the way for land grabbers.

Swahili

mojawapo ya nchi zilizoandikwa katika taarifa hiyo ni ethiopia ambapo wanavijiji katika jimbo la gambella wanalazimishwa kuhamia kwenye vijiji vilivyoandaliwa na serikali ili kuwapisha "wawekezaji” kutwaa ardhi yao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,783,333,408 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK