Results for exert translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

prophet, exert yourself to the utmost against those who deny the truth and the hypocrites.

Swahili

ewe nabii! pambana na makafiri na wanaafiki, na kuwa mgumu kwao!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

"and when ye exert your strong hand, do ye do it like men of absolute power?

Swahili

na mnapo tumia nguvu mnatumia nguvu kwa ujabari.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and most certainly we will try you until we have known those among you who exert themselves hard, and the patient, and made your case manifest.

Swahili

na bila ya shaka tutakujaribuni mpaka tuwadhihirishe wapignao jihadi katika nyinyi na wanao subiri. nasi tutazifanyia mtihani khabari zenu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we have enjoined upon man kindness to his parents, but if they exert pressure on you to associate with me in my divinity any that you do not know (to be my associate), do not obey them.

Swahili

na tumemuusia mwanaadamu kuwafanyia wema wazazi wake. na ikiwa watakushikilia unishirikishe mimi na usiyo kuwa na ujuzi nayo, basi usiwat'ii.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but whoever desires the hereafter and exerts the effort due to it while he is a believer - it is those whose effort is ever appreciated [by allah].

Swahili

na anaye itaka akhera, na akazifanyia juhudi a'mali zake, naye ni muumini, basi hao juhudi yao itakuwa ni ya kushukuriwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,884,684,814 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK