From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
exposure
exposure
Last Update: 2024-11-20
Usage Frequency: 1
Quality:
exposure in swahili
maana ya kufichua katika kiswahili
Last Update: 2019-11-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
exposure to the session
yatokanayo na kikao
Last Update: 2021-05-27
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
meaning of exposure in swahili
maana ya exposure kwa kiswahili
Last Update: 2022-09-09
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
office status, exposure, and cleaning
hali ya ofisi, maambukizi, na usafishaji
Last Update: 2024-03-27
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nor thirst nor exposure to the sun."
na hakika hutapata kiu humo wala hutapata joto.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
thirst, or exposure to the hot sun."
na hakika hutapata kiu humo wala hutapata joto.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
after exposure to blood/body fluids
baada ya kuwa katika uwezekano wa kugusa damu/viowevu vya mwili
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
photo from facebook page of southern tagalog exposure.
picha kutoka ukurasa wa facebook wa southern tagalog exposure.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the rcgp rsc data set includes all coded data and all prescribed items including vaccine exposure.
seti ya data ya rcgp rsc inajumuisha data yote iliyosimbwa na bidhaa zote zilizopendekezwa ikiwa ni pamoja na matumizi ya chanjo.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
osha considers certain healthcare and mortuary workers to be at high or very high categories of exposure risk.
osha inawachukulia wafanyakazi wengine na wafanyakazi wa chumba cha kuhifadhia maiti kuwa katika hatari ya juu au katika kategoria ya hatari ya juu ya kuambukizwa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the time from exposure to onset of symptoms is typically around five days but may range from two to fourteen days.
kuanzia muda wa kuambukizwa na dalili kuonekana kwa kwaida ni karibu siku tano lakini inaweza kuanzia siku ya pili au ya kumi na nne.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the time from exposure to onset of symptoms is typically around five days, but may range from two to fourteen days.
wakati kutoka kuambukizwa hadi kuonekana kwa dalili kwa kawaida ni karibu siku tano, lakini huenda ikawa kati ya siku mbili hadi kumi na nne.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
workers may be absent from work due to becoming sick, needing to care for others, or from fear of possible exposure.
wafanyakazi huweza kukosa kazi kutokana na kuwa wagonjwa, kuhitaji kutunza wengine, au kwa woga wa kuweza kuwa hatarini.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lukyanivska prison gained some international exposure last year, when ex-pm yulia tymoshenko was placed there during her trial.
gereza la lukyanivska lilipata kufahamika kwa macho ya kimataifa mwaka jana, pale waziri mkuu wa zamani, yulia tymoshenko alipowekwa kizuizini katika gereza hilo na hasa wakati wa kesi yake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
to estimate baseline susceptibility to covid-19 in the community and estimate both symptomatic and asymptomatic exposure rates in the population through seroprevalence monitoring
kukadiria hali ya kimsingi ya jamii kuwa hatarini kupata covid-19 na kukadiria viwango vya kuwepo hatarini kwa dalili au bila dalili miongoni mwa watu kupitia ufuatiliaji wa viwango vya virusi kwenye serami
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
if we consider visual material such as manga or cinema, the law has interpreted the term obscenity in this article as the exposure of pubic hair, the adult genitals and the sexual act.
kama tunachukulia vifaa vinavyoonekana kama vile manga au sinema, sheria imetafsiri neno ukosefu wa maadili kwenye ibara hii kama kuonesha vinyweleo vya sehemu za siri, sehemu za siri za watu wazima na tendo la ngono.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
high exposure risk jobs include healthcare delivery, support, laboratory, and medical transport workers who are exposed to known or suspected covid-19 patients.
kazi ambazo zina hatari ya juu zinajumuisha utoaji wa huduma za afya, msaada, maabara, wafanyakazi wa kusafirisha matibabu ambao wamegusana na wagonjwa wanaojulikana au wanaoshukiwa wa covid-19.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
medium exposure risk jobs include those that require frequent or close contact with people who are not known or suspected with covid-19, but may be infected due to ongoing community transmission or international travel.
kazi za kuwemo hatarini kwa kiwango cha wastani ni pamoja na zile zinazohitaji kutangamana mara kwa mara au karibu na watu ambao hawajulikani au kushukiwa kuwa na covid-19, lakini huwezekana wameambukizwa kutokana na usambazaji unaoendelea wa jamii au usafiri wa kimataifa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
according to the u.s. occupational safety and health administration (osha), lower exposure risk jobs have minimal occupational contact with the public and other coworkers.
kwa mujibu wa utawala wa usalama wa kikazi na afya (osha) ya marekani, kazi za kuwemo hatarini chache zina kutangamana na watu kikazi na umma na wafanyakazi wengine.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: