From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
beegeagle quotes an eyewitness:
beegeale anamnukuu mtu aliyeshuhudia tukio hilo:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ushahidi collected eyewitness reports of violence placed them on a map.
ushahidi ilikusanya taarifa za ushuhuda wa kuona za mapigano na kuziweka kwenye ramani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in aftermath of earthquake, eyewitness tweets from haiti · global voices
baada ya tetemeko la ardhi, jumbe za twita kutoka kwa walioshuhudia
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
among the mass of retweets of mainstream media reports and tweets sending prayers and good wishes to the caribbean island nation, have been eyewitness reports from musician and hotelier richard morse, who tweets as @ramhaiti.
miongoni mwa lundo la jumbe zinazotumwa tena na tena za taarifa za habari kutoka za vyombo vya habari vikubwa na jumbe nyingine za twita zinazotuma sala au dua pamoja na salamu za heri kwa taifa hili la karibea, pia kumekuwepo taarifa za mashahidi waliopo kwenye tukio kama vile mwanamuziki na mwendesha hoteli richard morse, ambaye anatwiti kwa jina la @ramhaiti.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: