Results for fence translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

some even scaled the fence around the house to avoid the long lines.

Swahili

baadhi yao waliamua kuruka fensi iliyokuwa imezunguka nyumba hiyo kukwepa mistari mirefu ilikuwa ikisubiri kuingia nyumbani humo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we sent a single blast against them, and they were reduced to husks of a decayed fence.

Swahili

hakika sisi tuliwapelekea ukelele mmoja tu, wakawa kama mabuwa ya kujengea uwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a warning sign hung beside the fence reads, "danger, don't come near."

Swahili

alama ya tahadhari iliyoning'inia pembeni mwa uzioikisomeka, "hatari, usikaribie."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

after five minutes of torpor, the few motorists able to drive back home force the guards to open the 15 ft high fence.

Swahili

baada ya kitu kama dakika tano hivi za vurugu, waendesha magari wachache wanaweza kuendesha magari yao ili kurudi nyumbani baada ya kuwaamuru walinzi kufungua lango lenye urefu wa futi 15.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

one of the pictures shows a guy wearing a t-shirt with the old apartheid flag as well as an israeli flag on a fence.

Swahili

picha moja inamuonyesha jamaa akiwa kavalia fulana na bendera ya zamani ya kibaguzi huku akiwa na bendera ya israeli kwenye ugo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the photo was taken by facebook user chuan hsiang chang, who called the fence "the silent spiral."

Swahili

picha imepigwa na mtumiaji wa facebook aitwaye chuan hsiang chang, aliyeuita uzio huo 'waya nyamifu'.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

barbed wire fences, deserted streets, security guards bearing shotguns.

Swahili

uzio wa seng'enge, mitaa mitupu, na walinda usalama wakiwa na bunduki.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,898,297,655 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK