From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
and they have upon me a [claim due to] sin, so i fear that they will kill me."
na wao wana kisasi juu yangu, kwa hivyo naogopa wasije kuniuwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
¿que te pasa guatemala? reported that calas filled a claim against the ministry of energy, who is in favor of extending the oil exploration contract in the middle of the rain forest.
¿que te pasa guatemala? anataarifu kuwa calas wameilalamikia wizara ya nishati, ambayo inapendekeza kurefusha mkataba wa uchimbaji mafuta katikati ya msitu wa mvua.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
there was a case where a provincial chief monk reportedly got drunk and beat a clergymen who didn't file a complaint for security reason since the bully monk is recognized as the king monk in the province.
kuna kisakilichomhusisha mtawa kiongozi aliyeripotiwa kulewa na kisha kumpiga mwanakleri (mtawa) mwingine huku mwanakleri huyo akishindwa kulipigia jambo hilo ripoti kwa sababu za kiusalama,hasa kwa kuwa mtawa kiongozi huyo anafahamika vema kwamba yeye ni kama mtawa mfalme katika jimbo linalohusika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the director of the macedonian helsinki committee, a human rights organization, uranija pirovska stated that she intended to file a complaint with the ministry of interior based on a video clip that documented the event, along with eyewitness testimonies.
mkurugenzi wa kamati ya helsinki nchini macedonia , shirika la haki za binadamu, uranija pirovska alisema kwamba alikusudia kufungua malalamiko dhidi ya wizara ya mambo ya ndani kwa kutumia kipande cha video kilichochukuliwa kwenye tukio hilo, na kwa kutumia ushahidi wa watu waliokuwepo eneo hilo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
france publishes a lot (ranked 6th in the world) and files a good number of patents (4th place out of all european filings), but ranks 24th according to "innovation" indicators.
ufaransa huchapisha nyaraka nyingi za kutangaza ugunduzi unaofanywa na watafiti (ni ya sita duniani) na huweka kumbukumbu nzuri ya taarifa hizi (ya nne barani ulaya) lakini ya 24 kwa mujibu wa viashiria vya "ugunduzi".
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.