From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
"what are their policies and practices?"
"sera na utendaji kazi wao ni upi?"
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
staff competency, morale and levels as well as a slew of health policies and legislation all have to be addressed.
uwezo wa wafanyakazi, ari ya kazi, na viwango vya utendaji ukiachia mbali sera za afya na sheria, yote ni mambo ambayo hayana budi kushughulikiwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
i realize that the policies and the work of each staff member benefit our society and nation.
natambua wazi kwamba kuna sera inayoelekeza kuwa kila mfanyakazi afanye kazi ili kuinufaisha jamii na taifa letu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
like other media and human rights groups around the world, we fear that this case represents an attempt by the moroccan government to silence those who are critical of its policies and practices.
kama ilivyo kwa vyombo vingine vya habari na makundi ya haki za binadamu ulimwenguni, tuna hofu kuwa mashitaka haya ni jaribio la serikali ya morocco la kuwanyamazisha wote wanaojaribu kuhoji kuhusu sera na utendaji wa serikali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
while the united states has significant concerns and disagreements with a wide range of cuba’s policies and actions, these fall outside the criteria relevant to the rescission of a state sponsor of terrorism designation.
wakati marekani ina wasiwasi na haikubaliani na sera na mienendo mingi ya cuba, bado inaamini kwamba hazina uhusiano na kufadhili vitendo vya ugaidi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
come on freelancers, let's go to the ministry of labor and social policy and demand the answers they owe us.
jitokezeni wafanyakazi mlio na mwajiri zaidi ya mmoja, twendeni wizara ya kazi na sera za jamii ili tupate majibu ya maswali yetu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
study the site’s policies and you’ll see that vkontakte identifies official pages by adding a blue checkmark immediately to the right of a user’s name.
chunguza sera za ukurasa huo na utaona kuwa vkontakte inatambulisha kurasa maalumu kwa kuweka alama za bluu baada tu ya jina la mtumiaji wa mtandao huo upande wa kulia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
as the us elections loom closer, international attention to us foreign policy and the candidates has increased.
kadiri uchaguzi wa marekani unavyokaribia, ndivyo kadiri macho ya kimataifa yanavyozidi kuelekezwa katika sera za nje za taifa hilo na wagombea wakuu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
as a recent article by alexandra starr notes, both the fields of technology and government have long excluded women from participation despite their impressive track record for approaching both policy and technology with more realism and tact than their male counterparts.
kama ambavyo makala ya hivi karibuni ya alexandra starr inavyoeleza, maeneo yote haya mawili ya teknolojia na serikali yamewatenga wanawake katika ushiriki pamoja na ukweli kwamba wamekuwa na rekodi nzuri ya kushughulikia sera na teknolojia kwa njia iliyo yakinifu zaidi na kwa mbinu za hali ya juu kuliko wanaume walio wengi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
it is the policy and commitment of the company that it does not discriminate on the basis of race, age, color, sex, national origin, physical or mental disability, or religion.
c / ni sera na dhamira ya kampuni kuwa haina ubaguzi kwa misingi ya rangi, umri, rangi, jinsia, asili ya kitaifa, ulemavu wa mwili au kiakili, au dini.
Last Update: 2019-08-23
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.