Results for geo translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

geo

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

deadpan thoughts quite easily summarizes the roller coaster of rumors in one sentence saying "the phone beeps - mushy’s being impeached..go put on geo ..now". some had us believing that this outgoing chap would go down fighting while some on the other hand conspired for the restoration of judiciary as his last vengeance but in the end it fizzled out to be a valiant outgoing speech, throwing in the towel before his tearful adios which siam's blog shares 'a grim-faced musharraf backed by pakistani flags and a portrait of the country's founder' to say "i leave my future in the hands of people."

Swahili

gazeti tando moja linalokwenda kwa jina la linatupa muhtasari makini kuhusu msukumo wa minong’ono hiyo katika sentenso moja: 'simu inaita – mushy anaondolewa madarakani kwa manufaa ya umma … tazama geo (kituo kimoja cha televisheni) … sasa hivi' wapo waliotuaminisha kwamba huyu jamaa anayekwenda zake angejaribu kujitetea ili abaki madarakani, wapo waliotabiri kwamba huenda angerejesha mfumo wa mahakama kama njia yake pekee ya kujinusuru na kulipiza kisasi; kinyume chake hali imegeuka kuwa hotuba ya kuagia, akiachia mambo mbele ya watu wake wa karibu waliokuwa wakilengwalengwa na machozi, hali ambayo tunahabarishwa kupitia kwamba ‘akiwa amevaa uso usio na tabasamu musharraf, huku akipepewa na bendera za pakistani nyuma yake na picha ya ‘mwanzilishi’ wa taifa hili aliishia kusema “naweka hatma yangu mikononi mwa umma.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,764,022,043 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK