From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
thus we recompense him who giveth thanks.
hivyo ndivyo tumlipavyo anaye shukuru.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and he giveth you of all that ye ask for.
na akakupeni kila mlicho muomba.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
allah giveth without stint to whom he will.
na mwenyezi mungu humruzuku amtakaye bila ya hisabu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
that it is he who giveth wealth and satisfaction;
na kwamba ni yeye ndiye anaye tosheleza na kukinaisha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
who giveth away his substance that he may be cleansed,
ambaye hutoa mali yake kwa ajili ya kujitakasa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
allah giveth blessings without stint to whom he will.
na mwenyezi mungu humruzuku amtakaye bila ya hisabu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and that he it is who giveth death and giveth life;
na kwamba yeye ndiye anaye fisha na kuhuisha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
who giveth his wealth that he may grow (in goodness).
ambaye hutoa mali yake kwa ajili ya kujitakasa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
as for him who giveth and is dutiful (toward allah)
ama mwenye kutoa na akamchamngu,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
he quickeneth and giveth death, and unto him ye will be returned.
yeye ndiye anaye fufua na anaye fisha. na kwake mtarejeshwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and who causeth me to die, then giveth me life (again),
na ambaye atanifisha, na kisha atanihuisha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
abraham said: "my lord is he who giveth life and death."
ibrahim alipo sema: mola wangu ni yule ambaye huhuisha na kufisha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
i am the good shepherd: the good shepherd giveth his life for the sheep.
"mimi ni mchungaji mwema. mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo wake.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
jesus then cometh, and taketh bread, and giveth them, and fish likewise.
yesu akaja, akatwaa mkate akawapa; akafanya vivyo hivyo na wale samaki.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
but thanks be to god, which giveth us the victory through our lord jesus christ.
lakini tumshukuru mungu anayetupatia ushindi kwa njia ya bwana wetu yesu kristo.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
he but giveth them a respite till a day when eyes will stare (in terror),
hakika yeye anawaakhirisha tu mpaka siku yatapo kodoka macho yao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and he it is who giveth life and causeth death, and his is the difference of night and day.
na yeye ndiye anaye huisha na kufisha, na yake yeye mabadiliko ya usiku na mchana.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
therefore i shall not go forth from the land until my father giveth leave or allah judgeth for me.
basi mimi sitotoka nchi hii mpaka baba yangu anipe ruhusa au mwenyezi mungu anihukumie.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
allah giveth manifold increase to whom he pleaseth: and allah careth for all and he knoweth all things.
na mwenyezi mungu humzidishia amtakaye, na mwenyezi mungu ni mwenye wasaa na mwenye kujua.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
allah giveth increase manifold to whom he will. allah is all-embracing, all-knowing.
na mwenyezi mungu humzidishia amtakaye, na mwenyezi mungu ni mwenye wasaa na mwenye kujua.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: