Results for guarantor translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

ask them, who among them is a guarantor for it?

Swahili

waulize: ni nani miongoni mwao dhamini wa haya?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

you have made god your guarantor, and god knows what you do.

Swahili

hakika mwenyezi mungu anayajua myatendayo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

god is the creator of all things, and he is the guarantor of all things.

Swahili

mwenyezi mungu ndiye muumba wa kila kitu, na yeye ndiye mlinzi juu ya kila kitu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(he commands people) to keep their established covenants with god, not to disregard their firm oaths; they have already appointed god as their guarantor.

Swahili

na timizeni ahadi ya mwenyezi mungu mnapo ahidi, wala msivunje viapo baada ya kuvithibitisha, ilihali mmekwisha mfanya mwenyezi mungu ndiye mdhamini wenu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they said: we miss the king's cup; and for him who bringeth it shall be a camel-load; and thereof i am a guarantor.

Swahili

wakasema: tumepoteza kopo la mfalme. na ataye lileta atapewa shehena nzima ya ngamia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i've had the guarantor to take my children to the hospital and the money you gave me the loan i have not already spent with them and i can not use them for something else my problem grew up to send the kids to you except i ask you to return the money to me and thank you if you agree and apologize if i'm wrong

Swahili

nimepata mdhamini wa kuwapeleka watoto wangu hospitali na zile pesa ulizonipa za mkopo bado sijazitumia ninazo zote na siwezi kuzitumia kwa kitu kingine shida yangu ilikua ni kuwapeleka watoto kutibiwa ila naomba nizirudishe hizo pesa kwako na tashukuru kama utakubali naomba unisamehe kama takua nimekosea

Last Update: 2018-01-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,877,177,987 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK