Results for guarding translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

or enjoined guarding (against evil)?

Swahili

au anaamrisha uchamngu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

over it are nineteen (angels guarding).

Swahili

juu yake wapo kumi na tisa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

so will you accept the responsibility of guarding him?

Swahili

basi je, wewe utakuwa ni wakili wake?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the good women are obedient, guarding what god would have them guard.

Swahili

basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa mwenyezi mungu ameamrisha wajilinde.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

righteous women are obedient, guarding in secret that which allah has guarded.

Swahili

basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa mwenyezi mungu ameamrisha wajilinde.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

allah is better at guarding, and he is the most merciful of those who show mercy.

Swahili

lakini mwenyezi mungu ndiye mbora wa kulinda, naye ndiye mbora wa kurehemu kuliko wenye kurehemu wote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

his kingdom spreads over the heavens and the earth and the guarding of these does not weary him.

Swahili

enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

his throne comprehendeth the heavens and the earth, and the guarding of the twain wearieth him not.

Swahili

enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the latter were accused of attempted murder of a policeman that was guarding ranch centenario, in the same ercilla community, on august 2011.

Swahili

waliotangulia kutajwa walituhumiwa kwa kumuua polisi aliyekuwa aliyekuwa doria katika shamba la wanyama lijulikanalo kama centenario katika eneo la jumuia hiyo ya ercilla mapema mwezi augusti 2011.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we already know how much of them the earth takes away: with us is a record guarding (the full account).

Swahili

hakika sisi tunajua kiasi cha kila kinacho punguzwa na ardhi kutokana nao. na kwetu kipo kitabu kinacho hifadhi yote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

his kursi extends over the heavens and the earth, and he feels no fatigue in guarding and preserving them. and he is the most high, the most great.

Swahili

enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

so righteous women are devoutly obedient, guarding in [the husband's] absence what allah would have them guard.

Swahili

basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa mwenyezi mungu ameamrisha wajilinde.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

then we revealed the book to you (o muhammad!) with truth, confirming whatever of the book was revealed before, and protecting and guarding over it.

Swahili

na tumekuteremshia wewe, kwa haki, kitabu hichi kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika vitabu na kuyalinda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

his throne doth extend over the heavens and the earth, and he feeleth no fatigue in guarding and preserving them for he is the most high, the supreme (in glory).

Swahili

enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. na yeye ndiye aliye juu, na ndiye mkuu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and (as for) those who follow the right direction, he increases them in guidance and gives them their guarding (against evil).

Swahili

na wale walio ongoka anawazidishia uongofu na anawapa uchamngu wao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

surely those who lower their voices before allah's apostle are they whose hearts allah has proved for guarding (against evil); they shall have forgiveness and a great reward.

Swahili

kwa hakika wanao teremsha sauti zao mbele ya mtume wa mwenyezi mungu, hao ndio mwenyezi mungu amezisafisha nyoyo zao kwa uchamngu. hao watakuwa na maghfira na ujira mkubwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a parable of the garden which those guarding (against evil) are promised: therein are rivers of water that does not alter, and rivers of milk the taste whereof does not change, and rivers of drink delicious to those who drink, and rivers of honey clarified and for them therein are all fruits and protection from their lord.

Swahili

mfano wa pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya mvinyo yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa. na wao humo watakuwa na kila namna ya matunda, na maghfira kutoka kwa mola wao mlezi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,877,668,837 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK