From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
for gulf
kwa maana ya kughuba
Last Update: 2016-11-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
who are in a gulf (of ignorance) neglectful;
ambao wameghafilika katika ujinga.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maryam is the co-director of the gulf center for human rights
maryam ni mkurugenzi mwenza wakituo cha ghuba ya arabuni cha haki za binadamu
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maryam is the co-director of the gulf center for human rights.
maryam ni mkurugenzi mwenza wa kituo cha ghuba ya arabuni cha haki za binadamu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
our national history is that of the people living between the gulf and the ocean not the history of regimes only.
historia ya taifa letu ni kwamba watu wanaoishi kati ya ghuba na bahari na sio historia ya tawala mbalimbali tu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a gulf will exist between them and their desires on the day of judgment like the similar people who lived before.
na watatiliwa kizuizi baina yao na hayo wanayo yatamani, kama walivyo fanyiwa wenzao zamani.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
but the idols will not answer them; we shall separate the two parties from each other by a destructive gulf.
basi watawaita, na wao hawato waitikia. nasi tutaweka baina yao maangamio.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
for those who know that bahrain is indeed in the persian gulf, there is one thing that comes to mind – wealth.
kwa wale wanaofahamu kwamba bahrain ipo katika ghuba ya ajemi, kuna kitu ambacho huwaingia vichwani - utajiri.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in the middle of intense vegetation in southeastern veracruz, a state along the mexican gulf, the town of yanga is evidence to the presence and settlement of africans in mexico.
katikati ya uoto uliofungamana huko kaskazini mwa veracruz, jimbo linalopakana na ghuba ya mexico, mji wa yanga ni kiashiria cha uwepo wa makazi ya waafrika huko mexico.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: