From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
that home of the hereafter we shall give to those who intend not high-handedness or mischief on earth: and the end is (best) for the righteous.
hayo ndiyo makaazi ya akhera, tumewafanyia wale wasio taka kujitukuza duniani wala ufisadi. na mwisho mwema ni wa wachamngu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
say thou: my lord hath only forbidden indecencies the open thereof and the hidden thereof, and sin, and high-handedness without justice, and ye associate aught with allah, for which he hath sent down no warranty, and that ye speak falsely of allah that which ye know not.
sema: mola mlezi wangu ameharimisha mambo machafu ya dhaahiri na ya siri, na dhambi, na uasi bila ya haki, na kumshirikisha mwenyezi mungu na asicho kiletea uthibitisho, na kumzulia mwenyezi mungu msiyo yajua.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: