Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hard work pays off
kazi ngumu inalipa
Last Update: 2023-09-21
Usage Frequency: 1
Quality:
my hard work will take me far
kufanya kazi kwa bidii
Last Update: 2022-04-07
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
his hard work and favor from the teachers saw him through high school.
kusoma kwake kwa bidii na kupendwa kwake na walimu kulimuwezesha kusoma elimu ya upili.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
after many years of hard work and careful planning, it has been able to generate significant attention.
baada ya miaka mingi ya kazi ngumu na mipango, imeweza kuongeza hali ya kujulikana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
as the year draws to a close, we’d like to express our gratitude for the hard work, creativity and care of so many in the global voices community.
kadiri mwaka 2012 unavyofikia tamati, tungependa kutoa shukrani zetu kwa kazi nzuri, ubunifu pamoja na kuonesha kujali mambo mengi katika jumuia ya sauti za dunia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i very much hope that all the syrian students are doing very well in their new colleges, and are keeping up the hard work so that we can continue to represent our country very well in all fields, and so that syria will be proud of us always.
ninatarajia sana kuwa wanafunzi wote wa syria wanafanya vyema kwenye vyuo vyao vipya, na wanaendelea kujitahidi zaidi ili waendelee kuiwakilisha nchi yetu vizuri kwenye fani zote, ili nchi ya syria ijisikie fahari kuwa na watu wa aina yetu siku zote.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i need to continue my hard-work and my well-being to colleague, youth organizations, role models, my friends, youths, family and my love.
ninapaswa kuendelea kujituma na kujitolea kwa wenzangu, mashirika ya vijana, watu wa kupigiwa mfano, marafiki zangu, vijana, familia na mpenzi wangu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: