Results for he peppered the spanish man translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

he peppered the spanish man

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

the spanish state has not intervened.

Swahili

serikali ya uhispania haikuingilia kati suala hilo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the beat was hard and it reminded me of the french caribbean and the spanish caribbean all at once.

Swahili

mrindimo wake ulikuwa mzito na ulinikumbusha karibeani iliyotawaliwa na wafaransa pamoja na ile iliyotawaliwa na wahispania.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

you can read the complete report in the spanish-language version of the amnesty international website.

Swahili

unaweza kusoma taarifa hiyo kamili hapa kwenye tovuti ya toleo la lugha ya kihispania ya shirika la amnesty international.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for example, a search for the spanish word for bead, "pan" , gives the following result:

Swahili

kwa mfano, unapotafuta neno la ki-hispaniola "pan" , lenya maana ya mkate, unapata majibu yafuatayo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

many netizens took for granted that the spanish state had paid the ransom for aid workers and expressed their dissatisfaction, sometimes accusing the aid workers of being reckless and seeking their own misfortune.

Swahili

raia wengi wa mtandao hawakujali kuwa serikali ya kihispania ilikuwa imelipa fidia kwa ajili ya wafanyakazi hao na wakaonyesha kutoridhika kwao, wakati mwingine wakiwalaumu wafanyakazi hao kwa kutokuogopa hatari na kujitafutia matatizo yao wenyewe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

afro-mexicans proudly share the story of “el yanga,” apparently an enslaved prince from the yang-bara tribe from gabon, who helped slaves to be free from the spanish around 1570.

Swahili

waafrika-wa-kimexico wanajivunia kuwa sehemu ya simulizi ya “el yanga,” aliyejulikana dhahiri kama mfalme aliyekuwa mateka kutoka katika kabila la yang-bara la gabon, ambaye aliwasaidia watumwa kuwa huru kutoka kwa waspaniola kwenye miaka ya 1570.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the spanish ministry said it will withdraw the kits that returned incorrect results, and would replace them with a different testing kit provided by shenzhen bioeasy.80% of test kits the czech republic purchased from china gave wrong results.slovakia purchased 1.2 million test kits from china which were found to be inaccurate.

Swahili

wizara ya uhispania ilisema kwamba itaondoa vifurushi vilivyorejesha matokeo yasiyo sahihi, na ingetumia vifurushi vinavyotolewa na shenzhen bioeasy badala yake.80% ya vifurushi vya upimaji ambavyo jamhuri ya cheki ilinunua kutoka china vilitoa matokeo yasiyo sahihi.slovakia ilinunua vifurushi milioni 1.2 kutoka china ambavyo vilivyopatikana kutotoa matokeo sahihi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,763,299,397 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK