From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
colonial health care
huduma za afya wakati wa ukoloni
Last Update: 2021-05-16
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
primary health care institute
mipangilio ya msingi ya huduma za afya
Last Update: 2024-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
secretary general ministry of health
kadi ya kumbukumbu ya uchanjaji wa chanjo ya uviko-19
Last Update: 2022-01-28
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
health care during the colonial period
huduma a afya wakati wa ukoloni
Last Update: 2023-10-02
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
permanent secretary to the ministry of health
katibu mkuu wizara ya afya
Last Update: 2022-10-26
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
doctors have given him a clean bill of health.
madaktari wamemthibitishia kwamba afya yake iko imara.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mary beth heffernan taking photograph of health worker morris zolu.
mary beth heffernan akipiga picha za mhudumu wa morris zolu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
to those who have been through this hell, my best wishes of health.
kwa wale ambao wamewahi kuonja jehanamu hii, nawatakia nyote afya njema.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the app was developed by the ministry of communication and technology and ministry of health.
programu hiyo ilitengenezwa na wizara ya mawasiliano na teknolojia na wiraza ya afya.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
secretary general of the madagascar ministry of health philémon tafangy recognized the risk:
katibu mkuu wa wizara ya afya nchini madagaska philémon tafangy alitambua hatari:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
health care workers told heffernan, "we no longer look like scary ninjas.”
wahudumu hao wa afya walimwambia heffernan, " hatuonekani kama watu wanaotisha.”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
the contamination of drinking water and food sources, which leads to a slew of health risks.
uchafuzi wa maji ya kunywa na vyanzo vya chakula, jambo ambalo linapelekea hatari nyingi za kiafya.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
analysts believe that the arrest of arroz has increased the participation of health professionals in the strike.
wachambuzi wanaamini kwamba kukamatwa kwa arroz kulichochea ushiriki wa wafanyakazi zaidi wa afya katika mgomo huo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
now, my research methods class at the muhimbili university of health and allied sciences has 150 students.
sasa, darasa langu la mbinu za utafiti kwenye chuo kikuu cha muhimbili cha afya na sayansi za tiba lina wanafunzi 150.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and she came up with the idea of taking photos of health workers that could be attached to their protective clothing.
na kuanzia hapo akapa wazo la kuwapiga picha watumishi wa afya na kuziweka kwenye mavazi hayo ya kujilinda na maambukizi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
on january 20, the infection of health-care providers was reported, suggesting that human-to-human transmission was possible.
tarehe 20 januari, maambukizi miongoni mwa watoa huduma ya matibabu yaliripotiwa, na kuashiria kuwa maambukizi kutoka kwa binadamu hadi binadamu yaliwezekana.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
côte d'ivoire: employees of health institutions strike after four months without pay · global voices
côte d'ivoire: wafanyakazi wa afya wagoma baada miezi minne bila mshahara
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in addition, cases of human-to-human transmission were reported by the ministry of health in tunisia.
kwa kuongezea, visa vya maambukizo kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine viliripotiwa na wizara ya afya huko tunisia.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"barbara hogan has a mountain to climb to reverse the almost terminal damage to health care on manto’s watch.
“barbara hogan ana kazi kubwa mbele yake ili kurekebisha mambo ambayo kwa kiasi fulani tayari amekwishasababisha madhara kwa mfumo wa afya katika uangalizi wa manto.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
a higher percentage of health workers, particularly nurses, are women, and they have a higher chance of being exposed to the virus.
asilimia kubwa ya wafanyakazi wa afya, haswa wauguzi, ni wanawake, na wana uwezekano mkubwa wa kuambukizwa virusi hivyo.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: