Results for hijacking translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

is he hijacking it & appointing himself as leader? #egypt

Swahili

je anayateka (maandamano) & na kujiteua kama kiongozi? #egypt

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

@mansoor_aljamri: egyptians correct the path and end the hijacking of the arab spring.

Swahili

@mansoor_aljamri: raia wa misri wanasahihisha njia waliyopitia na kusitisha utekaji nyara wa chimbuko la waarabu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and according to activists on the ground, the government retaliated by 'hijacking' the email accounts of activists, including lawyers and journalists, and accessing their blogs and social networking sites, such as on facebook, and deactivating them.

Swahili

na kwa mujibu wa wanaharakati waliopo nchini humo, serikali ilijibu mashambulizi kwa ‘kuziteka’ anuani za barua pepe za wanaharakati, ikiwa ni pamoja na zile za wanasheria na za waandishi, na kuweza kuzitumia blogu zao na mitandao ya kijamii, kama vile facebook,na kuzizuia zisiweze kufanya kazi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,170,057,040 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK