Results for honor the fallen translation from English to Swahili

English

Translate

honor the fallen

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

but you do not honor the orphan

Swahili

bali nyinyi hamuwakirimu mayatima,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 2
Quality:

English

nay! but you do not honor the orphan,

Swahili

sivyo hivyo! bali nyinyi hamuwakirimu mayatima,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

two men working to build small dharahara in memory of the fallen one.

Swahili

wanaume wawili wakijishughulisha kwenye ujenzi wa mnara mdogo wa dharahara kama kumbukumbu ya waliopoteza maisha.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

from a video created by the popular site kharabeesh to pay tribute to the fallen pilot, on their facebook page.

Swahili

kutoka kwenye video iliyotayarishwa na mtandao maarufu wa kharabeesh kwa ajili ya kumbukumbu ya rubani aliyefariki, iliyowekwa katika ukurasa wa facebook.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

kharabeesh, a news site based in jordan, released an animated video tribute to the fallen pilot on facebook.

Swahili

kharabeesh, mtandao wa habari wa jordan, uliweka katika mtando wa facebook video ya kumbukumbu ya kifo cha rubani huyu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

aquino’s speech during the service also became the butt of online jokes for being more about himself than the fallen cops.

Swahili

hotuba ya aquino wakati wa ibada hiyo iligeuka kuwa kituko mtandaoni kwa kusemekana kuzungumzia mambo yake binafsi kuliko marehemu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a group of students, mostly from kenya, gathered in beijing on april 18 to hold an unofficial candlelight vigil to honor the memory of the 147 people killed at garissa university college on april 2 in northern kenya.

Swahili

kikundi cha wanafunzi, wengi wao wakiwa wakenya, walikusanyika jijini beijing mnamo aprili 18 kufanya ibada isiyorasmi ya kuwakumbuka watu 147 waliouawa kwenye chuo kikuu kishiriki cha garissa mnamo aprili 2 kaskazini mwa kenya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and whoever honors the symbols of allah - indeed, it is from the piety of hearts.

Swahili

na anayetukuza ibada za mwenyezi mungu, basi hayo ni katika unyenyekevu wa nyoyo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the elderly woman...was on her way from her home in central havana to the headquarters of the ladies in white- the home of the fallen leader of the group, laura pollan, located on neptuno street- when she was violently intercepted by state police.

Swahili

ajuza huyo…alikuwa akielekea yalipo makao makuu ya kikundi hicho cha ladies in white akitokea nyumbani kwake mitaa ya havana kati –alikozaliwa kiongozi wa kikundi hicho aliyeuawa, laura pollan, mtaa wa neptune –ambapo alibughudhiwa sana na polisi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the frederick douglass award "honors the tremendous resilience of the human spirit and emphasizes that many of the survivors of modern-day slavery go on to help others to freedom."

Swahili

tuzo ya frederick douglass “huenzi uwezo wa kumudu wa roho ya binadamu na husisitiza kwamba wengi wa wanaonusurika utumwa wa ki-leo huendelea kuwasaidia na wengine kuwa huru”

Last Update: 2023-11-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,673,231,909 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK