From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
the hopeful news
habari za matumaini
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
it’s hopeful.
inaleta matumaini.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hopeful, optimistic and innovative
wana matumaini, matarajio na ni wabunifu pia"
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
akin, too, was guardedly hopeful:
akin, pia, alikuwa na matumaini yenye masharti:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
i'm still hopeful though!! #saudi
hata hivyo, bado nina matumaini!! #saudi
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
online, netizens and supporters remain hopeful yet skeptic.
mtandaoni, watumiaji wa intanenti na wote wanaomwunga mkono walibaki na matumaini na bado wakiwa wasiwasi na ukweli wa habari hizi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
and hamisi kigwangalla is hopeful the ruling ccm will withstand the current crisis:
pia, hamisi kigwangalla ana matumaini kuwa chama tawala, ccm kitahimili mikikimiki ya sasa:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
another tweep, still hopeful about another zambia bba participant, tweeted:
nyingine ilisema, huku ikiwa na matumaini kwa mzambia mwingine anayeshiriki kwenye bba, akisema:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
some ukrainians remain hopeful that the usa and the eu will take decisive action to punish putin and russia.
baadhi ya waukraine wamebaki na matumaini kuwa marekani na umoja wa ulaya watachukua hatua madhubuti kumwadhibu putin na urusi yake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
aids activists and many south africans are hopeful that this move will signal a shift in the government's hiv/aids policies.
wanaharakati wa masuala ya ukimwi na raia wengi wa afrika ya kusini wana matumaini makubwa kwamba hatua hii huenda ikaashiria mabadiliko ya sera za serikali kuhusu suala la vvu na ukimwi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
although there are doubts as to whether online campaigns will influence voters in a country with such low internet penetration, some bloggers such as spotistarehe are hopeful:
ingawa kuna mashaka kama kweli kampeni za mtandaoni zitakuwa na athari kwa wapiga kura katika nchi ambayo utumiaji wa intaneti ni wa kiwango cha chini, baadhi ya wanablogu kama vile spotistarehe wana matumaini:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
indeed those who read the book of allah, and keep the prayer established, and spend from what we have bestowed upon them in secret and publicly, are hopeful of a trade in which there is never a loss.
hakika wale wanao soma kitabu cha mwenyezi mungu, na wakashika sala, na wakatoa kwa siri na kwa dhaahiri katika tulivyo waruzuku, hao hutaraji biashara isiyo bwaga.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
is this a demonstration of the internet's ability to instantly inform and engage tens of millions; and a hopeful sign that there is a willingness among those millions, to engage passionately with something more meaningful?
je, hii ni kuonyesha uwezo wa mtandao kuwajulisha na kuwafanya mamilioni washiriki; na alama ya matumaini kwamba kuna utashi miongoni mwa mamilioni hao, na kwa shauku kabisa kujihusisha na kitu chenye maana kubwa?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: