From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nigerians will have to look at themselves as a society and question why they have systematically over 50 years done nothing to arrest the slide into oblivion and hopelessness?
wanaijeria itabidi wajiangalie kama jamii na kujiuliza kwa nini hawajafanya lolote kimfumo kwa zaidi ya miaka 50 ili kuzuia kuteleza kuelekea kusahaulika na kukosa matumaini?
under categories like “expressions of hopelessness, futility,” “talk of harming self or others,” and “connection to group identity (race, nationality, religion, ethnicity)," the ranking system asks teachers, social workers and police officers to rank individuals from 1 to 5.
kwenye kipengele kama "kuonesha kukata tamaa, kutokujiamini," "kuzungumizia kujidhuru au kuwadhuru wengine," na "kujitambulisha na makundi (rangi, utaifa, dini, kabila)," maswali hayo yanawaomba walimu, ustawi wa jamii na maafisa wa polisi kuwapa alama watu kati za 1 na 5.