Results for hospitalized translation from English to Swahili

English

Translate

hospitalized

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

do any of the drugs reduce the time a patient is hospitalized?

Swahili

dawa hizo hupunguza muda ambao mgonjwa analazwa hospitalini?

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

many more in the poor, rural village of chapra were hospitalized in serious condition.

Swahili

wengi wao wakiwa ni wakazi wa kijiji masikini cha chapra, walilazwa hospitalini kufuatia hali zao kuwa mbaya sana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a preliminary study in china of combined lopinavir and ritonavir found no effect in people hospitalized for covid-19.

Swahili

uchunguzi wa kujaribu dawa nchini uchina wa mchanganyiko wa lopinavir na ritonavir, haukupara athari kwa watu waliolazwa hospitalini kwa sababu ya covid-19.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

within a few hours of being hospitalized, he regained consciousness and managed to make a powerful political speech to the journalists at his bedside.

Swahili

ndani ya masaa machache ya kulazwa hospitalini, alipata tena fahamu na kuweza kutoa hotuba ya kisiasa yenye mashiko kwa waandishi wa habari waliokuwa pembeni mwa kitanda chake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

according to eleven media, 6 died and 12 were hospitalized with injuries during the violent attacks against myanmar nationals in malaysia from may 30 to june 8.

Swahili

kwa mujibu wa eleven media, watu 6 walifariki na wengine 12 walikimbizwa hospitalini kutoka na majeraha waliyoyapata wakati wa mashambulizi makali yaliyotokea kati ya mei 30 na juni 8 dhidi ya raia wa mynamar wanaoishi nchini malasia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and in another separate incident in dhule in the district of maharashtra, 31 children were hospitalized after having their mid-day meals.

Swahili

na katika tukio jingine huko dhule katika wilaya ya maharashtra, watoto 31 walilazwa hospitalini mara baada ya kupata chakula cha mchana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in contrast, 335 patients aged < 19 years were not hospitalized and 1,342 had missing data on hospitalization.

Swahili

kwa ulinganifu, wagonjwa 335 wenye umri wa miaka chini ya < 19 hawakulazwa hopitalini na 1,342 hawakuwa na data yoyote kuhusu kulazwa hospitalini.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

although several countries use chloroquine or hydroxychloroquine for treatment of persons hospitalized with covid-19, as of march 2020 the drug has not been formally approved through clinical trials in the united states.

Swahili

ingawa nchi kadhaa hutumia chloroquine au hydroxychloroquine kwa matibabu ya watu waliolazwa hospitalini kwa sababu ya covid-19, kuanzia march 2020 dawa hiyo haijaidhinishwa rasmi kupitia majaribu ya kliniki nchini marekani..

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

after the trial staff determines the drugs available at the hospital, the who website randomizes the hospitalized subject to one of the trial drugs or to the hospital standard of care for treating covid-19.

Swahili

baada ya jaribio, wafanyakazi huamua dawa zinazopatikana hospitalini, tovuti ya who huchagua mhusika aliyelazwa hospitalini bila utaratibu kuwa mmoja wa kufanyiwa majaribio ya dawa au kwa kiwango cha utunzaj wa hospitali kwa ajili ya matibabu ya covid-19.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in contrast, 1,388 of 5,143 (27%) covid-19 patients who were not hospitalized were reported to have at least one underlying health condition.

Swahili

ikilinganishwa, idadi ya wagonjwa 1,388 kati ya 5,143 (27%) wa covid-19 ambao hawakulazwa hospitalini waliripotiwa kuwa na angalau hali moja sugu ya kiafya.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a form of angiotensin-converting enzyme 2, a phase ii trial is underway with 200 patients to be recruited from severe, hospitalized cases in denmark, germany, and austria to determine the effectiveness of the treatment.

Swahili

dawa ya angiotensin-inayobadilisha kimeng'enya 2, jaribio la awamu ya ii na wagonjwa 200 kuandikishwa wenye magonjwa mahututi na waliolazwa hospitalini kutoka denmark, ujerumani, na austria ili kubaini ufanisi wa matibabu hayo.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,916,310,459 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK