From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
how to use the generator
jinsi ya kutumia generator
Last Update: 2018-04-14
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
beating dafrau,examples in a sentence
kupiga dafrau,examples in a sentence
Last Update: 2024-04-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the meaning of the word in swahili
maana ya kiamboni kwa kiswahili
Last Update: 2023-07-31
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i need to know how to use an online computer.
nilikuwa naitaji nijuwe jinsi ya kutumia kozi ya online ya komputa
Last Update: 2024-01-23
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference:
we have brought them the word in order that they remember.
na sasa kwa yakini tumewafikishia neno ili wapate kukumbuka.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the who has issued instructions on when and how to use masks.
who imetoa maagizo ya wakati na jinsi ya kutumia barakoa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and when they had preached the word in perga, they went down into attalia:
baada ya kuhubiri ule ujumbe huko perga, walikwenda atalia.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
allah disdains not to use the similitude of things, lowest as well as highest.
hakika mwenyezi mungu haoni haya kutoa mfano hata wa mbu na ulio wa zaidi yake.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
examples of sentences in swahili using how to english
namna gani
Last Update: 2022-01-16
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
for if any be a hearer of the word, and not a doer, he is like unto a man beholding his natural face in a glass:
yeyote anayesikiliza hilo neno lakini halitekelezi, huyo ni kama mtu anayejiangalia sura yake mwenyewe katika kioo.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
blogger chola mukanga, on his zambian economist, refused to use the photos, saying:
mwanablogu chola mukanga, kwenye blogu yake ya zambian economist aligoma kuzitumia picha hizo, akisema:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
from turkey, engin onder describes how turkish twitter users spread the word on how to circumvent the block:
kutoka uturuki, engin onder anaeleza namna watumiaji wa twita walivyosambaza ujumbe wa namna ya "kuuzunguka" ufungiaji huo:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
in order to be ungrateful for our favours; and to use the comforts; therefore they will soon come to know.
wapate kuyakanya tuliyo wapa, na wajistareheshe. lakini watakuja jua!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i didn't get a direct flight to your country and that's why i decided to use the east africa main terminal dear
i didn't get a direct flight to your country and that's why i decided to use the east africa main terminal dear
Last Update: 2024-07-19
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
but what is unique about queen rania is that she is the only arab figure who uses the internet to engage in a dialogue with the west to promote a moderate islamic speech.
lakini jambo la kipekee kuhusu malkia rania ni kwamba yeye ni muarabu pekee maarufu anayetumia mtandao wa intaneti kwa ajili ya mazungumzo na ulimwengu wa magharibi ili kutetea mtazamo wa wastani wa kiislamu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
at the time of inspection, the procurement officer had not received training to make purchases using the tanepsi system. he now has the training to use the system.
wakati wa ukaguzi, afisa manunuzi alikuwa hajapati mafunzo ya kufanya manunuzi kwa kutumia mfumo wa tanepsi. kwa sasa ameishapata mafunzo ya kutumia kutumia mfumo huo
Last Update: 2024-03-10
Usage Frequency: 4
Quality:
Reference:
writers like evgeny morozov argue that contrary to early optimism about the internet as a democratizing force, dictatorships are figuring out how to use the internet to solidify their power and suppress dissent - and that the internet in many countries is dominated by manipulated spin, disinformation and hate.
waandishi kama evgeny morozov wanadai kuwa kinyume na matumaini ya awali kuhusu wavuti kuwa nguvu ya demokrasi, tawala za kiimla zinang’amua jinsi ya kutumia wavuti ili kuimarisha nguvu zao na kukandamiza upinzani – na kwamba wavuti katika nchi nyingi inatawaliwa na upindishaji wa habari, utoaji wa habari potofu na chuki.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
to celebrate the seven-year anniversary, safaricom encouraged kenyans on twitter to use the hashtag #beforempesa to explain how the service has affected their lives.
katika kusherehekea miaka saba ya huduma hiyo, safaricom iliwahamasisha wa-kenya kwenye mtandao wa twita kutumia alama habari ya #beforempesa kueleza namna huduma hiyo ilivyobadili maisha.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
having been marred in a lengthy political quagmire, the malagasy blogosphere is trying to steer the debate away from a political solution to an overall debate on how to re-ignite an economy that has faltered over the past three years.
kwa kule kukabiliwa na historia mbaya ya migogoro isiyoisha ya kisiasa, ulimwengu wa wanablogu wa kimalagasi unajaribu kuchochea mijadala itakayotoa suluhisho la kisiasa kwa mjadala wa jumla wa namna ya kuukuza upya uchumi ambao umedororora katika miaka mitatu iliyopita.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and finally, in a satirical twist, azad essa uses the terreblanche event to pick apart issues and stereotypes in the south african muslim community in his post on thought leader "was terror’blanche a muslim?"
na mwisho, katika mpindisho wa kejeli, azad essa anatumia tukio la terreblanche kubainisha mambo na imani maarufu juu ya watu katika jumuiya ya waislamu wa afrika kusini katika makala yake kwenye safu za thought leader "kiongozi wa fikra" “je gaidi'blanche alikuwa muislamu?"
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting