From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
to avoid acid attacks that target mainly women in different parts of the country, colombian government is about to control retail sales of caustic acids and chemical substances: sulfuric acido, hydrchloric acid, muriatic acid, phosphoric acid, nitric acid and sodium hydroxide, in the form of aqueous solution and flakes.
ili kuepusha mashambulizi ya kemikali yanayowalenga hasa wanawake katika maeneo mbalimbali ya nchi, serikali ya colombia itaanza kudhibiti mauzo ya rejareja ya kemikali ya 'chokaa' na vitu vya kemikali kama salfa, haidrokloriki, mariati, chokaa, naitriki na sodiamu haidroksaidi, katika hali ya kimiminika na vipande
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: