Results for hypocrisy translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

hypocrisy

Swahili

unafiki

Last Update: 2015-06-12
Usage Frequency: 12
Quality:

Reference: Wikipedia

English

they have become accustomed to hypocrisy.

Swahili

wewe huwajui.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

i don't want your hypocrisy i don't love you anymore

Swahili

sikupendi tena

Last Update: 2024-10-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the hypocrisy in some ranks has hurt the country and apparently is still crippling us.

Swahili

unafiki katika ngazi fulani umeiumiza nchi hii na bila ya shaka unaendelea kutukwaza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

this outbreak of frenzied homophobia is the epitome of the hypocrisy that pervades political life in africa.

Swahili

kulipuka kwa ushabiki huu wa hofu ya ushoga ni ushahidi wa unafiki unaotawala maisha ya siasa ya afrika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

even so ye also outwardly appear righteous unto men, but within ye are full of hypocrisy and iniquity.

Swahili

hali kadhalika ninyi mnaonekana na watu kwa nje kuwa wema, lakini kwa ndani mmejaa unafiki na uovu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

there are hypocrites among the bedouins around you and among the townspeople of madinah, steeped in hypocrisy.

Swahili

na katika mabedui walio jirani zenu wamo wanaafiki; na katika wenyeji wa madina pia wapo walio bobea katika unaafiki. wewe huwajui.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

some of the arabs of the desert around you are hypocrites, and some of the people of madina are stubborn in hypocrisy.

Swahili

na katika mabedui walio jirani zenu wamo wanaafiki; na katika wenyeji wa madina pia wapo walio bobea katika unaafiki. wewe huwajui.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

all that they did has been in vain (because of their hypocrisy), and they have become the losers.

Swahili

vitendo vyao vitapotea bure, na wataamkia kuwa wenye kukhasirika.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

a few old-school white south african's have joined the fray in the blogosphere pointing out the hypocrisy.

Swahili

waafrika kusini weupe wachache asmbao ni wahafidhina wamejiunga na pambano la kwenye ulimwengu wa blogu na wanauonyesha unafiki.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

amina is the prisoner of the tunisian political hypocrisy and the silence of those claiming to be democrats but do not dare to take sides in this ongoing battle.

Swahili

amina ni mfungwa wa unafiki wa kisiasa nchini tunisia na kimya cha wale wanaojidai kuwa wanademokrasia lakini hawajaribu kuonyesha msimamo katika vita hivi vinavyoendelea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

as a consequence of breaking their promise made to god, and telling lies, he filled their hearts with hypocrisy which will last till the day they come before him.

Swahili

basi akawalipa unaafiki kuutia nyoyoni mwao mpaka siku watapo kutana naye, kwa sababu ya kuwa walimkhalifu mwenyezi mungu katika yale waliyo muahidi, na kwa sababu ya kusema kwao uwongo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

so he caused hypocrisy to ensue in their hearts until the day they will encounter him, because of their going back on what they had promised allah and because of the lies they used to tell.

Swahili

basi akawalipa unaafiki kuutia nyoyoni mwao mpaka siku watapo kutana naye, kwa sababu ya kuwa walimkhalifu mwenyezi mungu katika yale waliyo muahidi, na kwa sababu ya kusema kwao uwongo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

god will, for their disregard of their promise and their telling lies, place hypocrisy in their hearts which will not leave them until they face the consequences of their deeds.

Swahili

basi akawalipa unaafiki kuutia nyoyoni mwao mpaka siku watapo kutana naye, kwa sababu ya kuwa walimkhalifu mwenyezi mungu katika yale waliyo muahidi, na kwa sababu ya kusema kwao uwongo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

and of the dwellers of the desert around you some are hypocrites, and so are some of the people of madinah; they have become inured to hypocrisy thou knowest them not, we know them.

Swahili

na katika mabedui walio jirani zenu wamo wanaafiki; na katika wenyeji wa madina pia wapo walio bobea katika unaafiki. wewe huwajui.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

and it may happen that allah will either bring you a decisive victory or bring about something else from himself? and then they will feel remorseful at their hypocrisy which they have kept concealed in their breasts -

Swahili

huenda mwenyezi mungu akaleta ushindi au jambo jingine litokalo kwake wakawa wenye kujuta kwa waliyo yaficha katika nafsi zao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

but those whose hearts are affected with the disease (of hypocrisy), every new surah added a fresh abomination to their abomination. they remained unbelievers till their death.

Swahili

ama wale wenye maradhi katika nyoyo zao, basi inawazidishia uovu juu ya uovu wao; na wanakufa hali ni makafiri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

amidst cries of hypocrisy by several jamaican artistes who feel that dancehall is being unfairly singled out, madbull, a jamaican blogger in cayman, writes that he fully supports the ban and thinks it should be extended to any genre of music being considered for public airplay.

Swahili

katikati ya vilio vya unafiki kutoka kwa wasanii wengi wa kijamaika ambao wanahisi kwamba mtindo wa dancehall pekee ndio unasakamwa, bloga wa kijamaika, madbull aliyeko huko cayman, anaandika kwamba anaunga mkono amri hiyo na anafikiri kuwa amri hiyo ienezwe na kuzuia mtindo wowote wa muziki unaotarajiwa kurushwa hewani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

wherefore laying aside all malice, and all guile, and hypocrisies, and envies, and all evil speakings,

Swahili

basi, acheni uovu wote; uongo, unafiki, wivu na maneno ya kashfa visiweko tena.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
8,899,368,636 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK