From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
all this happened but 60 years ago.
haya yote yalitokea miaka 60 tu iliyopita.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
i started my primary school education.
nilianza elimu yangu ya msingi katika shule ya
Last Update: 2024-12-10
Usage Frequency: 1
Quality:
i started my primary education in school.
nikajiendeleza na ufundi kuchomelea
Last Update: 2024-04-22
Usage Frequency: 1
Quality:
immediately i started the journey it started raining.
punde tu nilipoanza safari mvua ilianza kunyesha.
Last Update: 2020-08-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
almost everything is the way it was eight years ago.
karibu kila kitu kiko kama kilivyokuwa miaka nane iliyopita.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
acute bronchitis/bronchiolitis in those younger than five years
matatizo ya mikamba ya kupumua kwa wale wenye umri wa chini ya miaka mitano
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a new film follows one syrian family through five years of upheaval.
filamu mpya yaonesha mwenendo wa familia moja ya syria kwa kipindi cha miaka mitano ya vurugu za kisiasa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
iranian blogger z8tun summed up the situation about two years ago:
mwanablogu wa irani anayejulikana kama z8tun alihitimisha hali halisi ya mambo yapata miaka miwili iliyopita:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@beewol: r.i.p sports lovers who perished this day 2 years ago #werememberjuly11
@beewol: mungu azirehemu roho za wapenda kandanda waliopoteza maisha mahali miaka miwili iliyopita na ziweke mahali pema peponi #twakumbuka julai 11
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i had a sketch book with me and for the first time i started drawing from observation.
nilikuwa na daftari la kuchorea na kwa mara ya kwanza nilianza kuchora kwa kutazama mazingira.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the pp refused, claiming that they were only obligated turn in documents from the last five years.
chama cha umma kilikataa wakidai kuwa walipaswa kuziwasilisha hati hizo kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita na si vinginevyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
after that the project will be evaluated and the second phase rolled out in three to five years.
baada ya hapo, mradi huo utatathiminiwa na awamu ya pili itaanza ndani ya miaka mitatu hadi mitano.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
however, a few years ago, periodic floods were part of the lives of these peaceful communities.
hata hivyo, miaka michache iliyopita, mafuriko ya mara kwa mara yalikuwa matukio ya kawaida kwenye jamii hizo zenye amani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
five years ago this month, david traveled across the united states from california to harvard for a day-long workshop on global blogging.
miaka mitano iliyopita mwezi huu, david alisafiri katika marekani kuanzia california mpaka havard kwa ajili ya warsha ya siku nzima kuhusu kublogu ulimwenguni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a couple of bloggers have wished the president well in his new found love following the death of his wife ethel three years ago.
wanabloga wachache wamemtakia heri rais katika mapenzi mapya aliyoyapata baada ya kifo cha mkewe ethel miaka mitatu iliyopita.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a 2013 study showed that improved hand washing practices may lead to small improvements in the length growth in children under five years of age.
utafiti uliofanywa 2013 ulionyesha kuwa kuboresha matendo ya kuosha mikono kunaweza kusababisha kuboreka kwa viwango vidogo katika kimo cha watoto chini ya umri wa miaka mitano.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
am not swahili but i have a lot of swahili friends from kenya and tanzania so i started learning swahili, am part of mushroom growers association of kenya
mimi si kiswahili lakini nina marafiki wengi wa kiswahili kutoka kenya na tanzania naanza kujifunza kiswahili
Last Update: 2024-01-29
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
built 120 years ago, the musmeah yeshua synagogue in yangon is the last remaining jewish synagogue in buddhist-dominated myanmar.
lilijengwa miaka 120 iliyopita, sinagogi la musmeah yeshua lililoko eneo la yangon ni sinagogi pekee la wayahudi lililoyobaki katika eneo linaloongozwa na waumini wa dini ya kibudha waishio nchini myanmar.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
my name is prezentasio joakim ngonyani i was born 22/10/1998 in ruvuma region songea district i started primary school in 206 adi 2012 ad now
nilijinga na elimu ya secondary mwaka 2013 adi 2016 nikafaulu kwa alma ya 32 2017 nilijiunga na jeshi la kujenga taifa (jkt) ad sasa
Last Update: 2021-09-29
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
julius malema is to be removed as leader of the anc youth league (ancyl) after being suspended from the organisation for five years.
julius malema atanyang’anywa uongozi wake wa umoja wa vijana wa anc (ancyl) baada ya kusimamishwa uanachama kwa miaka mitano.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: