From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
supplementary ideas
nyongeza
Last Update: 2024-12-31
Usage Frequency: 1
Quality:
they give me ideas
imekuwa ni moja ya mazoea au mawazo ambayo kwa watu wengi huwa wanachukulia ni kama mawazo ya kitoto kutokana na kwamba ni mawazo ambayo watoto wengi huwaza au kutamani watakapo kuwa watu wazima basi kuweza kuyatimiza au kuyafikia mawazo hayo, lakini mawazo hayo hubaki kuwa ndoto ambazo ili kuzifikia inahitaji jitihada za kutosha katika kujituma kuweza kuyafanya mawazo na ndoto hizo kuwa halisia. watoto wengi huwa na ndoto nyingi ambazo huamini kabisa ukubwani wataweza kuzitimiza kirahisi, ila wanapofikia kuwa watu wazima taratibu ndoto zile huanza kubadilika kulingana na mazingira na hali za kiuchumi pia, japo kuna wengine ambao hufanikiwa kabisa kuziishi ndoto zao. mtoto anaeonekana katika mchoro huu nimoja kati ya watoto wenye ndoto au matamani ya kumiliki vitu vya thamani ambapo ameonekana kuweza kuonesha ndoto zake katika canvas, akionesha kutamani kumiliki gazi zuri la kifahari.
Last Update: 2024-09-19
Usage Frequency: 1
Quality:
you put me with ideas
unaniweka na mawazo
Last Update: 2021-08-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
your ideas are confused.
hakika nyinyi bila ya shaka mmo katika kauli inayo khitalifiana.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i have a lot of ideas
nina mawazo sana
Last Update: 2018-02-16
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
but you should clarify your ideas
lakini unapaswa kufafanua mawazo yako
Last Update: 2024-04-18
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
such sectarian ideas have inflicted everyone.
mawazo ya kimadhehebu ya aina hii yamemtesa kila mmoja.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
just stop those stories/ideas/opinions
wewe wacha zako
Last Update: 2017-11-21
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
my ideas are based on current issues, especially politics.
mawazo yangu hutokana na masuala yanayotokea, hususani siasa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i believe there has to be a change of ideas and attitudes.
ninaamini kwamba kumekuwepo mabadiliko ya mawazo na mtazamo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
are blogs gradually become a second hand channel for sharing ideas?
je blogu zinazidi kwa taratibu kuwa njia ya pili ya kushirikiana mawazo?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
friends and family have definite ideas of how they expect me to live my life.
marafiki na familia wanajua wanachokitarajia kwa maisha yangu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
boudkour and el bahi were abused and tortured because of their ideas and their ideals.
boudkour na el bahi waliteswa na kuhujumiwa kwa sababu tu ya kuamini na kuwa na fikra tofauti.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
islamic interpretations are patterned into rigid thinking and ideas where new interpretations are frowned upon.
tafsiri za kiislamu zimejikita katika fikra na mawazo yasiyobadilika ambapo tafsiri mpya zapaswa kujengwa kwazo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
harun used to tell me about ideas he had for media projects involving the somali community in london.
harun alizoea kuniambia kuhusu mawazo aliyokuwanayo kwa ajili ya mradi wa habari uliojumuisha jamii ya kisomali mjini london.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
but they reverted to their old ideas: “you certainly know that these do not speak.”
kisha wakarejea kwenye ule ule upotovu wao wakasema: wewe unajua kwamba hawa hawesemi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bill tipton took part in habitat jam - a three-day online event in 2005 to solicit ideas on urban sustainability.
bill tipton alishiriki katika jukwaa lililojulikana kama habitat jam - ambalo nalo lilidumu mtandaoni kwa muda wa siku tatu mnamo mwaka 2005, lengo la tukio hilo lilikuwa ni kukusanya mawazo kuhusu uendelevu wa miji.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
these short videos portray the concerns, ideas and dreams of youngsters from many different backgrounds, and give us a window into their daily lives.
video hizi fupi fupi zinaonyesha masuala, mawazo na ndoto za vijana wanaotokea asili tofauti tofauti, na kutupa kidirisha cha kuyachungulia maisha yao ya kila siku.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i heard about many many cases in which my friends content ( blog entries , pictures and ideas ) have been stolen by some lazy journalists.
nimesikia kesi nyingi ambazo kazi za marafiki zangu (maandiko ya blogu, picha na mawazo) yameibwa na waandishi habari wavivu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"i am an african" argued that one's ideas of sexuality should not apply to other people's lives:
"mimi ni mwafrika" alihoji kuwa mambo ya hisia za kijinsia ni ya kibinafsi na hayapaswi kuingiliwa:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting