Results for impending translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

impending

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

whereas we see it impending.

Swahili

na sisi tunaiona iko karibu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he is only a warner, warning you of an impending severe chastisement."

Swahili

yeye si chochote ila ni mwonyaji kwenu kabla ya kufika adhabu kali.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

the government remains defiant in the face of the impending sanctions, arguing that only national elections will provide an effective exit to the crisis.

Swahili

serikali imeendelea na jeuri yake pamoja na kuwepo kwa vitisho hivyo vya vikwazo huku ikijenga hoja kwamba ni kwa kupitia uchaguzi wa kitaifa tu kwamba mgogoro huo utamalizwa kwa ufanisi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but the signs of impending collapse were ignored by the building owner as he opened it for business on 24 april and workers were forced to go back to work.

Swahili

lakini dalili za kuanza kuanguka hazikutiliwa maanani na mmiliki wa jengo hilo kwani alilifungua kw ajili ya biashara mnamo tarehe 24 aprili na wafanyakazi walilazimishwa kurudi kazini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

so let her feed upon allah 's earth and do not touch her with harm, or you will be taken by an impending punishment."

Swahili

basi mwacheni ale katika ardhi ya mwenyezi mungu; wala msimguse kwa ubaya, isije ikakuangamizeni adhabu iliyo karibu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and warn them of the day of impending calamity, when hearts will rise up to the throats filled with grief; and the disbelievers will have neither any friend nor any intercessor who will be obeyed.

Swahili

na waonye siku inayo kurubia, wakati nyoyo zitakapo fika kooni, nao wamejaa huzuni.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

suu kyi's impending freedom was later doubted when the burmese top court rejected her final appeal against her house arrest this friday, making the people anxious whether she will be released or not.

Swahili

mategemo ya uhuru wa suu kyi yalitiliwa mashaka baada ya mahakama ya juu nchini burma kukataa rufaa yake ya mwisho dhidi ya kifungo cha nyumbani ijumaa, na kuwafanya watu wawe na wasiwasi kuwa angeachiwa au la.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

with the media blitz, it seems people of both the countries are witnessing a desi version of "papparazzi" as tv channels, print media and other agencies have hounded, gleaned and extracted any bit of information possible about this impending wedding.

Swahili

huku kukiwa na mlipuko katika vyombo vya habari, inaonekana kuwa watu wan chi zote mbili wanashuhudia toleo la kihindi la “papparazzi” kwani idhaa za televisheni, magazeti na asasi nyingine vimewaandama, vimekusanya na kutoa kila chembe ya habari inayowezekana kuhusu harusi hii inayotarajiwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,777,088,213 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK