From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
it is undoubtedly less abrasive in person than it is via satellite.
bila ya shaka hayakwaruzi ukiwa nayo ana kwa ana kama vile ukiyasikia kwa kupitia setilaiti.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
those who submit the request in person orally should receive responses within five days.
kwa wale waliowasilisha maombi kwa kutamka wanapaswa kupokea majibu ndani ya siku tano.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
whether unarmed or well equipped, march and fight for the cause of god with your possessions and in person.
nendeni mtoke, mkiwa wepesi na wazito, na piganeni jihadi kwa mali yenu na nafsi zenu katika njia ya mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
to those who strive for his cause in person or with their property, god has granted a higher rank than to those who stay at home.
mwenyezi mungu amewatukuza cheo wale wanao pigana kwa mali yao na nafsi zao kuliko wale wanao kaa tu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
if you believe you may be infected, call a hospital or local emergency medical services instead of going in person to avoid infecting others.
ikiwa unaamini unaweza kuwa umeambukizwa, pigia simu hospitali au huduma ya matibabu ya dharura badala ya kwenda mwenyewe ili kuepuka kuwaambukiza wengine.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
but the messenger of god and the believers with him fought for the cause of god with their possessions and in person and their reward will be all good things and everlasting happiness.
lakini mtume na wale walio amini pamoja naye waliwania jihadi kwa mali zao na nafsi zao. hao ndio watakao pata kheri nyingi, na hao ndio wenye kufanikiwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
among the believers, those who stay at home without a good reason are not equal to those who strive for the cause of god in person or with their property.
hawawi sawa waumini wanao kaa tu wala hawanadharura, na wale wanao pigana katika njia ya mwenyezi mungu kwa mali yao na nafsi zao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
to those who have believed in god, left their homes, and fought for his cause with their possessions and in person, god will grant high ranks and success.
wale walio amini, na wakahama, na wakapigana jihadi katika njia ya mwenyezi mungu kwa mali yao na nafsi zao, hao wana cheo kikubwa zaidi mbele ya mwenyezi mungu. na hao ndio wenye kufuzu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
i think it is safe to say that number lost will be dwarfed by the number gained, if what i've seen in-person and on-line has been any indication
nafikiri ni salama kusema kuwa idadi iliyopotea itaonekana ndogo kwa idadi itakayoonezeka, ikiwa nilichikiona binafsi na kwenye mtandao kinaashiria chochote
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
have faith in god and his messenger and strive hard for his cause with your wealth and in persons.
muaminini mwenyezi mungu na mtume wake, na piganeni jihadi katika njia ya mwenyezi mungu kwa mali yenu na nafsi zenu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
they did not want to fight for the cause of god with their property and in person and said, "do not march (to the battle) on the hot days."
na walichukia kupigana jihadi kwa mali zao na nafsi zao, na wakasema: msitoke nje katika joto!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
people expecting their first baby were more willing to have online consultation and guidance than who had previously given birth.the rcog and rcm recommend that in-person appointments be deferred by 7 days after the start of symptoms of covid-19 or 14 days if another person in the household has symptoms.
watu wanaotarajia mtoto wao wa kwanza walikuwa tayari zaidi kupata ushari na mwongozo mtandaoni kuliko wale waliozaa hapo awali. rcog na rcm inapendekeza kuwa miadi ya ana kwa ana upunguzwe kuwa siku 7 baada ya dalili za covid-19 kuonekana au siku 14 ikiwa mtu mwingine katika kaya anaonyesha dalili.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
keeping records of events. i am organized honest and observant. my excellent physical condition allows me to work on my feet for an entire shift with ease. i have an established relationship with local law enforcement due to my experience working as a security officer. my diligence and professionalism have earned me praise both from local officers and from current supervisors. i would like the opportunity to bring that same level of stellar work to the security officer position with your company. i am confident that i am a candidate that will stand out from the rest. please contact me at the email or phone number provided at your earliest convenience to arrange a time to talk in person. i welcome the opportunity to talk to you and thank you very much for your hiring consideration for the security officer position with bedford corporation. sincerely, shayna booker
shayna booker city, jimbo, zip code home : 000 000 0000 cell: 000 000 0000 email@email.com dear mr. brewer, ninaandika kuomba nafasi ya afisa wa usalama na bedford corporation. nina uzoefu wa miaka mitatu wa usalama na kuongeza uwajibikaji na kufurahia kazi sana. hivi sasa, nimeajiriwa kama afisa wa usalama na oakdale mall ambapo majukumu yangu ya msingi ni pamoja na kuchunguza tabia ya tuhuma inayowashikilia wanunuzi ambao wamekamatwa katika shughuli haramu na kuweka
Last Update: 2023-11-01
Usage Frequency: 1
Quality: