From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
and it increaseth aversion in them.
na huwazidishia chuki.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
allah obliterateth usury, and increaseth the alms.
mwenyezi mungu huiondolea baraka riba, na huzibariki sadaka.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
their disbelief increaseth for the disbelievers naught save loss.
wala kufuru za makafiri haziwazidishii ila khasara.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and we frighten them, but it only increaseth them in exorbitance great.
na tunawahadharisha, lakini haiwazidishii ila uasi mkubwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
in their hearts is a disease, and allah increaseth their disease.
nyoyoni mwao mna maradhi, na mwenyezi mungu amewazidishia maradhi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
they fall down on their faces, weeping, and it increaseth humility in them.
na huanguka kifudifudi na huku wanalia, na inawazidisha unyenyekevu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and those who are guided he increaseth unto them guidance, and giveth them their piety.
na wale walio ongoka anawazidishia uongofu na anawapa uchamngu wao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and he answereth those who believe and work righteous works and increaseth unto them of his grace.
na anawaitikia wanao amini na wakatenda mema, na anawazidishia fadhila zake.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and surely that which hath been sent down to thee from thy lord increaseth many of them in exorbitance and infidelity.
na sisi tumewatilia uadui na chuki baina yao mpaka siku ya kiyama. kila mara wanapo washa moto wa vita, mwenyezi mungu anauzima.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
their disbelief increaseth for the disbelievers, in their lord's sight, naught save abhorrence.
na anaye kufuru, basi kufuru yake ni juu yake; na kufuru za makafiri haziwazidishii kwa mola wao mlezi ila kuchukiwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
it is the revelation that cometh to thee from thy lord, that increaseth in most of them their obstinate rebellion and blasphemy.
na hakika ulio teremshiwa wewe kutokana na mola wako mlezi yatawazidishia wengi katika wao uasi na ukafiri.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and assurelly we have propounded it variously in this qur'an that they might be admonished, but it increaseth them only in aversion.
na tumekwisha bainisha katika qur'ani hii ili wapate kukumbuka. lakini haikuwazidisha ila kuwa mbali nayo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
so whosoever disbelieveth, on him will befall his infidelity. and for the infidels their infidelity increaseth with their lord naught save abhorence.
na anaye kufuru, basi kufuru yake ni juu yake; na kufuru za makafiri haziwazidishii kwa mola wao mlezi ila kuchukiwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
we verily have displayed (our warnings) in this qur'an that they may take heed, but it increaseth them in naught save aversion.
na tumekwisha bainisha katika qur'ani hii ili wapate kukumbuka. lakini haikuwazidisha ila kuwa mbali nayo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
allah increaseth in right guidance those who walk aright, and the good deeds which endure are better in thy lord's sight for reward, and better for resort.
na mwenyezi mungu huwazidishia uwongofu wenye kushika uwongofu. na mema yenye kudumu ni bora katika malipo mbele ya mola wako mlezi na yana mwisho mwema.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and allah increaseth in guidance those who let themselves be guided, and the righteous works that last are excellent with thy lord in respect of reward and excellent in respect of return. *chapter: 19
na mwenyezi mungu huwazidishia uwongofu wenye kushika uwongofu. na mema yenye kudumu ni bora katika malipo mbele ya mola wako mlezi na yana mwisho mwema.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and whatsoever ye give in gift in order that it may increase among the substance of men increaseth not with allah; and whatsoever ye give in poor-rate seeking the countenance of allah-then those: they shall, have increase manifold.
na mnacho kitoa kwa riba ili kiongezeke katika mali ya watu, basi hakiongezeki mbele ya mwenyezi mungu. lakini mnacho kitoa kwa zaka kwa kutaka radhi ya mwenyezi mungu, basi hao ndio watao zidishiwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: