Results for insane translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

immensly insane!!

Swahili

wehu mkubwa!!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and your companion is not insane.

Swahili

na wala huyu mwenzenu hana wazimu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

- that who among you was insane.

Swahili

ni nani kati yenu aliye pandwa na wazimu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

indeed the criminals are astray and insane.

Swahili

hakika wakosefu wamo katika upotofu na wazimu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

another reader says, "it's insane":

Swahili

msomaji mwingine anasema, “huu ni wehu”:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

by the grace of your lord, you are not insane.

Swahili

kwa neema ya mola wako mlezi wewe si mwendawazimu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in that case we shall he in error and insane.

Swahili

basi hivyo sisi tutakuwa katika upotofu na kichaa!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

if we do, we are indeed astray, and insane!”

Swahili

basi hivyo sisi tutakuwa katika upotofu na kichaa!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

then indeed, we would surely be in error and insane.

Swahili

basi hivyo sisi tutakuwa katika upotofu na kichaa!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

“has he fabricated a lie against allah, or is he insane?”

Swahili

ama amemzulia mwenyezi mungu uwongo, au ana wazimu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and they said, “o you who received the message, you are insane.”

Swahili

na walisema: ewe uliyeteremshiwa ukumbusho! hakika wewe ni mwendawazimu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(muhammad), you are not insane, thanks to the bounty of your lord.

Swahili

kwa neema ya mola wako mlezi wewe si mwendawazimu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and said, "should we give up our idols for the sake of an insane poet".

Swahili

na wakisema: hivyo sisi tuiache miungu yetu kwa ajili ya huyu mtunga mashairi mwendawazimu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

(the unbelievers have said), "you to whom the quran has been revealed are insane.

Swahili

na walisema: ewe uliyeteremshiwa ukumbusho! hakika wewe ni mwendawazimu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and they say: o you to whom the reminder has been revealed! you are most surely insane:

Swahili

na walisema: ewe uliyeteremshiwa ukumbusho! hakika wewe ni mwendawazimu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and they said, “o you upon whom the qur’an has been sent, you are indeed insane.”

Swahili

na walisema: ewe uliyeteremshiwa ukumbusho! hakika wewe ni mwendawazimu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the pharaoh and his forces turned away from him, saying, "he is either a magician or an insane person".

Swahili

lakini alipuuza kwa sababu ya nguvu zake na akasema: huyu ni mchawi au mwendawazimu!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

(muhammad), remind them, by the grace of your lord, that you are neither a soothsayer or an insane person.

Swahili

basi kumbusha! kwani wewe, kwa neema ya mola wako mlezi, si kuhani wala mwendawazimu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

*you* may have some wonderful ability to push it into your mental background, but for most of us, it's insane.

Swahili

*u*naweza kuwa na uwezo wa kuisukuma nyuma ya akili yako, lakini kwa wengi wetu, huu ni wehu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

when the disbelievers listen to you reciting the quran they almost try to destroy you with their piercing eyes. then they say, "he is certainly insane".

Swahili

na walio kufuru hukaribia kukutelezesha kwa macho yao, wanapo sikia mawaidha, na wanasema: hakika yeye ni mwendawazimu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,648,452,885 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK